Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama ipo katika Katiba ya nchi naomba hicho Kifungu kiwekwe hapa hadharani au kama ipo katika maandiko ya Vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran basi nitafurahi pia hayo maandiko yawekwe hapa ili...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Eti kama hujawahi kudate footballer hujui umekosa nini, kutokana na mazoezi jamaa wako fit vibaya mno. Yana ukweli haya?
6 Reactions
170 Replies
18K Views
Mapenzi yalikuwa ni matamu sana let say miaka 20 iliyopita, mapenzi bila smart phone tuliyafaidi sana, mapenzi yakuonana kwa nadra yalipendeza zaidi, mapenzi yakumsubiria mpenzi wako sehemu fulani...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana JF, Mwenzenu najiona tofauti tangu mpenzi wangu anitambulishe rafiki yake nimetokea kumpenda sana rafiki yake yaani its love at first sight mpenzi wangu yuko poa sana lakini naona...
5 Reactions
216 Replies
17K Views
Mama mkwe amekuja kumsaidia mke wa mtoto wake katika uzazi. Wiki ya kwanza alikuwa anasoma mazingira ya nyumba, mke mwenyewe alifahamishwa siku ya kwanza, siku ya pili walikutana kwenye harusi...
11 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari za jioni wanajamvi, Naamini mmekuwa na siku nzuri na maandalizi mema ya sikukuu ya Pasaka. Pamoja na kwamba nafahamu baadhi ya side effects za kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu ila kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hello guys, Wanaume hutoa thread nyingi za malalamiko na hasira humu JF, zinazodai kuwa unakutana na mdada, ukionesha tu dalili za kumtaka kimapenzi, tayari keshaanza kuomba hela, (though its not...
7 Reactions
50 Replies
4K Views
10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani. 11 Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato. 12 Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Niende moja kwa moja kwenye somo hapo juu nilikiwa kwenye mahusiano na mwanamke wa Geita,Mimi nafanya kazi yangu Singida ,huyu mwanamke alikuwa anakuja kwangu na mimi nilikuwa naenda nyumbani kwao...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa Wanawake wanaotafuta Wachumba wa kuwaoa. Zingatia haya. Hakikisha Mwanaune ana sifa hizi. 1. The presence of God. Uwepo wa Mungu ndani yake. 2. He has a Job. Hata Mungu alimpa Adamu Kazi ya...
3 Reactions
8 Replies
15K Views
Haka kabinti kamenisumbua kama 4months hivi, basi bana nikasema let me be hentle nikamwacha aendelee na maisha yake. Sasa juzi nimetulia mahala mara nilashangaa text Mambo bila ubaya nikajibu...
17 Reactions
96 Replies
7K Views
Huyu mrembo kwa mara ya kwanza nilikutana naye jana Jumapili kwa lengo la kufahamiana mana tulikua hatjawahi kuonana, tumekua tukiwasiliana kwa njia ya simu tu. Sasa mwanaume jana nikajikoki...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Nalewa lakini akili haitaki kumsahau mpenzi nilieachana nae.nifanye nini jamani?nimeamini kuna wanawake ni kama sumaku ndani ya moyo au ndo limbwata jamani ndio liko hivyo,Mainteligencia...
6 Reactions
129 Replies
11K Views
Men seeks women who are physically attractive as this is a sign of good 'genes' Women seeks men who are dominant and status related characteristics since they want protection/security for...
5 Reactions
92 Replies
7K Views
Wapendwa habari za asubuhi? Inauma sana unapokuwa na mpenzi wako na unamhudumia kwa kila kitu halafu bado anachepuka. Nataka niachane nae lakini kabla sijafanya hivo nahitaji ushahidi. Ni app...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Hata dunia ibadilike vipi na mambo yabadilike vipi lakini mwanamke mzuri ni mwenye sifa hizi Mwanamke mzuri ni yule 1. anayejiheshimu mtaani, 2. Hodari jikoni 3.malaya kitandani.......
13 Reactions
188 Replies
19K Views
Habari za majukumu wakuu.. Kama mada inavyojieleza hapo, niko na mdogo wangu hana kazi wala hataki kujishughulisha kwa chochote ambacho kitamtoa jasho ameshaowa ana mtoto mmoja na mwingine yupo...
6 Reactions
61 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa, Ipo haja ya kurekebisha sheria ya ndoa kuhusiana na kugawana mali baada ya kutalikiana. Hii itasaidia kutenda haki pia kwa kiasi fulani kupunguza kiwango cha ndoa zinzovujika...
8 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari wakuu, natumaini siku ya leo ni tulivu na Jumapili nzuri yenye baraka tele. Katika mahusiano ya kimapenzi nimepitia mambo mengi na kupata experience. Kuna neno hili la "MY" huwa linaniteka...
8 Reactions
204 Replies
17K Views
Binafsi, huwa napenda sana kudate mwanamke mtu mzima. Nadhani ni kwasababau girlfriend wangu wa kwanza alikuwa mtu mzima, yaani alinizidi umri. They have this kind of taste to me, yaani sijui hata...
21 Reactions
236 Replies
34K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…