Hivi kuna ulazima wowote ukimaliza kufanya mapenzi na Mwanamke umpe Hela / Pesa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,864
Kama ipo katika Katiba ya nchi naomba hicho Kifungu kiwekwe hapa hadharani au kama ipo katika maandiko ya Vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran basi nitafurahi pia hayo maandiko yawekwe hapa ili tusiojua tuweze kujua.

Unamtongoza Mwanamke na mnakubaliana wenyewe mkafanye mapenzi kisha mkishamaliza tu utasikia anaanza kukuambia kuwa anaomba Pesa / Hela na mfano ukisema huna anaanza kukuambia kuwa ulivyomchafua ina maana hata hapati Sabuni?

Kutoa Hela / Pesa kwa Mpenzi wako baada ya kumaliza kufanya Mapenzi ni lazima, hiari au haipo?

Nawasilisha.
 
Hiari ama lazima inategemeana na wewe mwanaume ulivyomzoesha mwanamke!

Sasa kwanini wengi Wao huwa wanalazimisha kupewa Pesa / Hela wanapomaliza Kubanduliwa / Kungonoliwa / Kubaiolojiwa / Kutinduliwa?
 
Hiyo ni roho mbaaaaya na ubahili unakusumbua.

Ukiwa na mwanamke lazima umuhudumie,

1. Chakula.

2. Umlipie kodi ya ghetto.

3. Umpe pesa ya kununua nguo.

4. Pesa ya vipodozi.

5. Kila mwisho wa wiki mpe hela aende saluni akabadili mitindo tofauti.

6. Kifanya tabia mbaya umpe angalau hela ya shukrani kama " asante kwa penzi lako tamu mpenzi wangu " Tshs: 50,000/= na zaidi.

7. Umkatie bima ya afya kwa mwaka.

8. Mtafutie kazi kama hana....

NB : haijalishi demu ni Malaya au katulia.
 
Hizo ni tabia za WASUKUSU, kwa kawaida aliyefurahi anampongeza mwenzie kwa neno la Asante m
 
Back
Top Bottom