Kwa dunia hii ya sasa mwanamke kama huyu kweli anaweza kupatikana?

blackstarline

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
3,100
7,483
10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11 Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
12 Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
13 Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14 Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
15 Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
16 Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17 Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
18 Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
19 Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia.
20 Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21 Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22 Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23 Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24 Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.
25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
26 Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.
28 Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,
29 Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.
31 Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
 
Tatizo hamuwataki hao, mnataka mwenye wowowo na sauti ya kudeka , wanawake wanaojitafutia mnawataka ili muwachune tena mnaona wanaringa hapo ndo mlipofeli... tena waafrika mnajiaminisha mwanamke asiwe na shughuli ya kulisha familia atakuwa anaringa sasa jiulize huyu mwanamke anayenunua shamba na kulima zabibu ni mwanamke wa aina gani?
 
Usiniambie wewe unasifa hizo!!
 
Tatizo umesoma kwenye Biblia... Hapo Huwezi wapata WA namna hiyo
 
Tatizo hamuwataki hao, mnataka mwenye wowowo na sauti ya kudeka , wanawake wanaojitafutia mnawataka ili muwachune tena mnaona wanaringa hapo ndo mlipofeli... tena waafrika mnajiaminisha mwanamke asiwe na shughuli ya kulisha familia atakuwa anaringa sasa jiulize huyu mwanamke anayenunua shamba na kulima zabibu ni mwanamke wa aina gani?
Mara nyingi nikiwa na mtoko na watoto wa kike huwa wanakataa nisiwalipie au nijilipie bill. ila wapo tayar kunilipia kila kitu. Na hiyo hali nakutana nayo kwa wanawake mbalimbali.

Unaweza kuniambia ni kwa nini huwa wanapenda kubeba bill yangu?
 
Asante sana! vip wewe hizo sifa hauna hata moja?

Sifa zangu.

1. Mvuta cigar
2. Natembea na wanawake 6 kwa wiki.
3. Sipendi kula chakula
4. Napenda kucheza game PlayStation 5
5. Namiliki simu ya aifoni eksi
6. Namiliki nyumba 8
7. Naendesha Cadillac escalade ( Google utaiona )
8. Kila mwaka lazima niende Brentford nchini uingereza.
9. Mke wangu nilimuacha 1944
10, angaliaga I'd cu ma we
 
Back
Top Bottom