Wanaume tuache kulalamika wadada wakituomba hela, tuwazoee

Wanaume tuache kulalamika wadada wakituomba hela, tuwazoee

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,653
Hello guys,

Wanaume hutoa thread nyingi za malalamiko na hasira humu JF, zinazodai kuwa unakutana na mdada, ukionesha tu dalili za kumtaka kimapenzi, tayari keshaanza kuomba hela, (though its not a good habit for a woman to have) lakini labda nieleze kitu kimoja ninachofikiri..

Wanawake ndo walivyoumbwa na Mungu (NATURE YAO NI KUPOKEA VITU TOKA KWA MWANAUME) NA SIO KUTOA, that's why in a traditional/natural sense of view, tangu enzi na enzi za mababu, a man ni provider, and a woman anakaa nyumbani kutunza nyumba na kulea watoto. Mwanamke hata apende vipi hawezi kubali kum-support mwanaume financially for the rest of his life..

Kwenye biblia agano la kale, Mungu alituagiza wanaume tukiona mwanamke mzuri ambae hajaposwa hlf tukalala nae, tumpeleke mwanamke nyumbani halafu tumpe nguo nzuri avae... (Deuteronomy 21:11-13), pia kulingana na biblia wanaume tuna jukumu la kutoa mahari kwa baba mkwe, hata kwenye agano jipya (1 Timotheo 5:8), inaetulekeza kuwa sisi wanaume ndo provider, na mwanaume asiehudumia familia ni mbaya kuliko aliekana imani. So, Biblia imetupa sisi wanaume jukumu la kumhudumia mwanamke.

Hata kwenye uislamu, wanaume tumeamriwa kuhudumia mke, waislam mliomo humu mtanisaidia ku-quote vifungu vya quran..

Maoni yangu ni hayo tu..
 
Wanaume wa dar ndiyo zao huku kwetu mtu kupewa ndama kitu cha kawaida sana
 
Ezekieli 16:33
[33]Watu huwapa makahaba wote zawadi, bali wewe unawapa wapenzi wako wote zawadi zako, na kuwapa rushwa ili waje kwako pande zote, kwa ajili ya mambo yako ya kikahaba.
 
They do have pussy to receive what men give through their soulders (p)
 
Magumashi

Leo utashangiliwa sana like kibao
Ila kumbe njama ni kuhadaaa tu

Subiri pm itajaa navojua wanawake hapa jf wanavopenda hela kuliko hata nyuchi zao

Hehehe
 
Magumashi

Leo utashangiliwa sana like kibao
Ila kumbe njama ni kuhadaaa tu

Subiri pm itajaa navojua wanawake hapa jf wanavopenda hela kuliko hata nyuchi zao

Hehehe



hahaa mnadhani mm napenda kupigwa mizinga especially na mtu ambae sio mke wangu, sipendi ila ndo wadada walivyo..ntafanyaje, nimekubaliana na matokeo .. nachukulia kuwa na mwanamke ni kama kuwa na expenses nyingine k.v kuweka gari mafuta, kununua nguo etc, so bajeti naitenga kabisa ili nisifulie Nkolandoto Mama Sabrina Sakayo
 
Back
Top Bottom