Neno gani hukuteka kimapenzi? Mimi hutekwa na neno 'my'

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Habari wakuu, natumaini siku ya leo ni tulivu na Jumapili nzuri yenye baraka tele.

Katika mahusiano ya kimapenzi nimepitia mambo mengi na kupata experience. Kuna neno hili la "MY" huwa linaniteka sana kimapenzi. Ikitokea tuna urafiki na mwanamke na katika chatting zake akitumia ili neno huwa wananitesa sana kimapenzi. Hata kama sikuwa na nia ya kula papuchi huwa natamani kuila.

Je, wewe mwenzangu huwa unatekwa na maneno gani ambayo yanakushawishi kula papuchi?
 
Hakika jumapili ya Leo ni nzuri mno.

Mimi neno "dear" huwa linaniamusha mashetani yangu pale linapoandikwa/tajwa na rafiki wa kike.

Baada ya mazungumzo au chatting nabaki namuwaza,huyu rafiki mrembo anamaanisha au anatania au anatamani tupeane mautamu.
 
Hakika jumapili ya Leo ni nzuri mno.

Mimi neno "dear" huwa linaniamusha mashetani yangu pale linapoandikwa/tajwa na rafiki wa kike.

Baada ya mazungumzo au chatting nabaki namuwaza,huyu rafiki mrembo anamaanisha au anatania au anatamani tupeane mautamu.
Dear???
Hili nikiandikiwa cjibu text ng'oooo

Lilipita na enzi za barua kwakwel
 
Come on man, chatting haimaanish kuwa anakupenda. Kama vip muite mahali muongee , mwambie ya moyoni. Then sepa ataamua yeye kukubali au laa
 
Dear???
Hili nikiandikiwa cjibu text ng'oooo

Lilipita na enzi za barua kwakwel
Eee!!! Hahaha kwa hiyo enzi za barua.

Minah24, Kuna mabingwa wa kucheza maneno ya malavidavi lazima usisimuke ati.
 
Wengi wanatamka maneno bila kujua.we unaejua maana yake unaweza kuhisi unachombezwa.ukashusha handbrake na kumpiga fesi
 
Nimekumbuka rafiki angu classmate,miaka ya nyuma nilikua napenda kutumia hilo neno,eti akadhani nimemtaka kimapenzi sijui,kumbe sina hata wazo,eti siku naona ananiomba papuchi nikashangaa sana namuuliza kulikoni eti ananijibu kwan ulivokua unaniita my ulikua na maana gani khaaa!!!
 
Back
Top Bottom