Ninawasalimia wana JF wote.
Natumaini ni waziwa wa afya njema. Leo napenda kuanza na somo hili la kuanza hatua kwa hatua kufikia Enlightenment. Nina maanisha kuwa kuweza kufanya meditation na...
20/04/2014 usiku wa kuamkia siku ya pili ya Pasaka nilipata mtoto wangu wa kwanza wa kiume ambaye bila hata kupima tulijua tu atakuwa wa kiume hivyo hata jina lake tulimpa miezi kadhaa kabla ya...
Hodi Jamvini, jamani mwenzenu niko hoi,pamoja na kashfa,visa na matukio ya hapa na pale kuhusu Wema Sepetu,mwenzenu binti huyu ananitia wazimu,sijui nielezee vipi,lakini naamini mnanielewa,nadhani...
Salaam wote
Niende moja Kwa moja kwenye mada kwa wiki 1 sasa nachat na shemeji yangu ambae ni rafiki wa demu wangu sijatambulishwa rasmi na tunawasiliana kisiri siri
Hivi majuzi nlimtumia text...
Kuchepuka ni jambo ambalo linashika kasi sana miongoni mwa ama wanandoa au walio kwenye mahusiano.
Mwanaume na Mwanamke kila mmoja anachepuka kwa aina yake na kutumia mbinu mbalimbali kufanikisha...
Husika na kichwa cha habari. Nachukua nafasi hii, haswa sikukuu hii ya pasaka kuwashukuru wana JF yafuatayo
1. KUNIPA USHAURI KWENYE
MAHUSIANO YANGU :
Kwa kweli...
Mimi ni Polisi: Kisa cha Ashura wa Kahama
18th February 2014
Pamoja na mengi yaliyonitokea ambayo nitayasimulia siku nyingine, leo nimekumbuka kisa kilichonitokea miaka sita iliyopita...
Habari zenu wakuu, natumaini Pasaka kwenu imekuwa vyema, kuna mdada mmoja tulikuwa tukiishi nae mtaa mmoja alikuwa mzuri shombe shombe nilitokea kumpenda sana lakini alikuwa ananiheshimu sana na...
Nawatakia usiku mwema nyote.
Mungu awakinge na kuwalinda usiku huu mlalapo.
Nawaombea Mungu awaamshe salama kesho asubuhi na kila mmoja wenu aweze kutimiza Yale anayohitaji kuyatimiza hapo kesho.
Ni rafiki yangu sana,miaka ya 94-97 nilisomea kwao o'level.
Mwaka 2006 dec nikamuita aje kutembea Dar,ktk maongezi yetu akaniomba nimsaidie mtaji ili afanye biashara/kilimo.
Nilimuuliza ni bei...
Dah.. cjawahi kufikiria hii kitu kama cku moja itakuja kutokea kwangu..
Hiv inakuaje unakuwa na girlfriend ambaye anakaa kwao but mnaonana na mnaasiliana karibia kila cku kma sio kila wakat..
Na...
Wana uwezo mkubwa sana wa kujifanya wameacha tabia zao za kuuza nanihii, lakini ukweli ni kwamba hawa watu wameshaathirika kisaikolojia hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja, hata umpe nini akipata...
Hapo vip!
Tabia za wanawake wa sasa hivi nitofauti na wanawake wa zamani kwasababu tumewaendekeza sisi wenyewe.
Wanawake wasasahivi wengi wanawapiga waume zao ndani kinoma.
Wanawake wasahivi...
Habari JF,
Nimeamua kujitokeza hadharani kuongeza kasi ya utafutaji. Nahitaji kuoa na kuanza kulea familia.
Mtakaonikejeli mbarikiwe, hatukuumbwa sawa wote, pia tunatofautiana malezi na fursa...
Natafuta mchumba wakike awe na umri kuanzia miaka 22-26 .Awe mkristo open minded na awe na kazi. Umri wangu ni miaka 30 mkazi wa Dar es salaam kazi yangu Biashara elimu yangu Degree. Atakae kuwa...
Hii ni kweli bila chenga.
Mwanzoni mwa mwezi huu nlikua na tatizo ikabidi nimpigie rafiki yangu ili ansaidie. Kupiga simu akapokea binti na kudai yeye ndie mwenye simu na nikamukomalia kwamba...
Huwa sipost sana kwenye hili jukwaa ila huwa msomaji mzuri wa michango inayotolewa humu.
Mara nyingi sana nakutana na post zikiwaponda hawa "wasaidizi" kuwa wawo ni kama hawafai kuolewa na...
Mke wa ndoa;
- Kosa kubwa alifanyalo Mke wa ndoa ni hili; mume karudi nyumbani, mke yuko sebuleni na mashosti zake wanajadili kuhusu vikoba.
Mume kapita moja kwa moja mpaka sebuleni, katoa salamu...