Natafuta mchumba wakike umri 22-26

Natafuta mchumba wakike umri 22-26

mgayatz

New Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Natafuta mchumba wakike awe na umri kuanzia miaka 22-26 .Awe mkristo open minded na awe na kazi. Umri wangu ni miaka 30 mkazi wa Dar es salaam kazi yangu Biashara elimu yangu Degree. Atakae kuwa serious anitext inbox.
 
Account yako nyingine ni ipi?
Yaan kila I'd inayotafuta mchumba ni I'd mpya au ambayo haitumiki.
Majaribu haya
Hahahahahahaha, umenichekesha sana eti ni majaribu ina maana inawezekana kaja na new I'd ila ni mkongwe humu.
 
"Awe na kazi"... Unatafuta mchumba au backups?!..haka ka kigezo kanaonesha jinsi gani wanaume wengi wanavyoogopa maisha...usjali utapat mkuu
Kila mtu na masharti yake mkuu, mtu kama anakidhi vigezo opportunity never comes twice awahi mapema hapo.
 
Hahahahahahaha, umenichekesha sana eti ni majaribu ina maana inawezekana kaja na new I'd ila ni mkongwe humu.
Ndiyo mkuu. Inabidi kumfuata na wewe uende na fekero.
Ukute hata hatafuti mchumba anataka ajue vitonga wa jf.
 
Kila mtu na masharti yake mkuu, mtu kama anakidhi vigezo opportunity never comes twice awahi mapema hapo.
Yeah kweli ...ila kutofautian mitazamo sio mbaya maan tuko tofaut humu...jion njema
 
Huko unakoishi hakuna wanawake mpaka uje kutafuta humu?
Kwani wa humu si wanakaa huko pia, ameamua kutafuta humu kama na Mimi nitakavyo amua kutafuta humu, kigezo cha mke wangu lazima awe mwana jf,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom