Kumtongoza mwanamke unayemuheshimu ni shida sana

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Habari zenu wakuu, natumaini Pasaka kwenu imekuwa vyema, kuna mdada mmoja tulikuwa tukiishi nae mtaa mmoja alikuwa mzuri shombe shombe nilitokea kumpenda sana lakini alikuwa ananiheshimu sana na binti mwenye maadili sana, nilitafuta kila mbinu ya kumuingia lakini nashindwa na sijawahi muona akizungumzia maswala ya mapenzi na sijawahi muona na mwanaume yeyote zaidi ya marafiki wa kike nao wote walikuwa ni mabinti wenye maadili sana ,kwahiyo niliangaika sana mpaka akasafiri lakini leo nimekutana nae ni mwaka wa tatu toka tupotezane Nimemuona ana mtoto mchanga katika kumuuliza maswali akadai amezalishwa na kuachwa huko alikokuwa roho imeniuma sana lakini Sina jinsi nilimpenda sana lakini udomo zege uliniponza sana ,vijana fungukeni msije mkaumia kama mimi .nawatakia sikukuu njema na Pasaka njema
 
Udomo zege ndo u nini poyee pasaka njema na kwako piyaa.
 
....katika kumuuliza maswali akadai amezalishwa na kuachwa huko alikokuwa.... Hapo alimaanisha ameshakufungulia mLaNgO! Ulichukua namba yake ya simu?
Wewe ni great thinker kweli.
 
Kwa gear ya kuwa nae na kumlelea mtoto wake pindi ukimfungukia kwa sasa Utampata.
 
Vipi umeyazoea maisha ya kufundisha Shule ya Msingi!?... Halafu walimu wa Shule za Msingi mnakuwaga waoga sana sijui kwanini!!..
 
duh inabidi ujifunze mapenzi kwa njia ya kutizama movie za kikorea kwanza.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom