Utofauti wa mchepuko na mke halali

Utofauti wa mchepuko na mke halali

KANYIMBI

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,187
Reaction score
4,425
Mke wa ndoa;
- Kosa kubwa alifanyalo Mke wa ndoa ni hili; mume karudi nyumbani, mke yuko sebuleni na mashosti zake wanajadili kuhusu vikoba.
Mume kapita moja kwa moja mpaka sebuleni, katoa salamu "Za sahizi??", wote wakaitikia. Mke kaendelea na story zake, wala hajampokea mumewe, mume akanyoosha mpaka ndani.
Mke: We juma(mtoto wake wa kiume), hebu kamtekee baba maji ya kuoga halafu mwekee kwenye ngazi za bafuni. Na we Ashura, mtengee baba chakula mezani.
Kisha akaendelea na story za vikoba na mashosti zake.
.
Mume akaoga, kamaliza kasogea mezani, kapakua chakula chake ugali na dagaa wamesimama kama msumari wa bati, kaanza kula. Alipomaliza, mtoto wao Ashura kama kawaida kaenda kutoa vyombo.
Mara mashosti zake mke wanaondoka, ndo mke sasa anamsogerea mume kama fuso likiona bodaboda.
.
Mke alivyokaribia tu, mume akaanza kufikicha pua, maana kuna harufu ya jasho iliyochanganyika na moshi inasogea.
Mke akaongea kwa sauti ya juu " We baba Juma, umeniletea kile kitenge na dera nilivyokwambia???"
.
Mume akageuza kichwa pembeni maana kuna kaharufu cha dagaa kametoka kinywani mwa mkewe huku maneno makali. Kisha akajibu.
Mume: "Nimesahau".
.
Mke akakunja sura, kisha akajibu.
Mke: "hehehe nilijua tu, baba juma ndo ulivyo, umesahau umefanya makusudi. Mwanaume humjali mkeo, sijui hukoje wewe".

Mume akamtazama kwa hasira, akasonya na kuingia ndani kulala.

Mke kakaa sebuleni, katazama tamthilia, alivyomaliza kaenda kuoga, kamaliza akavaa khanga yake, kalala.

Mume usiku hamu imemkamata, mke kagoma kisa hajaletewa dera. Mume akaomba msamaha mwisho ndo akapewa uhondo lakin ile ilimradi tu maana hakuna mahaba, hakuna nini ...we maliza shida yako, lala na kesho ole wako usilete dera na kitenge.

MCHEPUKO

Mchepuko akamtext mume "Baby pole na kazi, nimekumiss sweet, njoo bwana na hamu na wewe".
Mume akajibu sms: "Onh nakuja baby".

Masaa kadhaa baadae, inasikika sauti ya mtu anagonga mlango, ananyanyuka anaenda kumfungulia.
Macho ya mwanaume yanagongana uso kwa uso na mtoto kapendeza, ananukia vizuri, tabasamu mwanana.

"Onh wow honey, nimekumiss" anasema mchepuko.
akamkombatia kwa nguvu, akamtazama kwa mahaba na kumpa busu zito, kisha akamwambia "Karibu ikulu kwako mpenzi" akambusu tena kwenye lips.

Mchepuko akamvua koti taratibu, na kupokea briefcase alilobeba mume na vyote kuviweka upande wa kushoto.
- Upande wake wa kulia akautumia kumwekea mkono begani mume, huku akiendelea kujibebisha.
Akamsifia mume huku akijichekesha kimahaba "Umependeza sana dear, hawajaniibia kweli??? Maana navyokupenda, na wivu mie".
Mume akajichekesha: Haha hamna darling, hakuna wakukuibia.(Akamsogerea na kumkombatia kwa nyuma, akambusu, huku akiendelea kufurahia ile harufu safi ya manukato itokaye mwilini mwa mchepuko wake. Akamnusa kimahaba na kuanza kutomasa shingo yake kwa ncha ya pua huku akibusu na kung'ata kimahaba sehemu za shingo na mabega.
Mchepuko: Bwana acha(akiongea kama mtu mwenye mafua, kisha akamtazama kinyume nyume na kumfikicha pua, wakachekeana na kukimbizana mpaka chumbani).

Wakafika hadi chumbani, mchepuko akamsukumiza kitandani mume, na kumpandia kwa juu huku akiwa amekibenjua kiuno chake.
Taratibu akaanza kumpa busu zito, huku akimfungua vifungo vya shati.

Mchepuko: Pole na kazi na uchovu darling (Akazungumza huku akimuongeza mabusu mengi mengi kuanzia kwenye lips mpaka kifuani.)

Alivyo maliza, akashuka chini ya kitanda na kumvua viatu na suruali.
Kisha akauliza "Nikufanyie massage kwanza, au tukaoge tu sweetie ".

Mume: Twende tukaoge, leo sijachoka sana.
Mchepuko: Mh njoo nikubebe baby.
Mume: Aanh anh nakubeba mimi darling(Akaongea huku akimnyanyua na kwenda nae bafuni)
****Yaaani, kilichofanyika bafuni, hata mimi sijui maana walifunga mlango****

Wakatoka bafuni huku wakiwa na furaha ya ajabu, mume akafutwa maji huku na yeye akimfuta mchepuko wake.
Kisha mume akavalishwa bukta nyepesi na t-shirt nyepesi. Huku mchepuko akiwa amevaa nguo ya ndani na mtandio mwepesi kwa nje, na sidiria.

Wakashikana mikono mpaka dining room, na mchepuko akamketisha mume kwenye kiti. Akambusu shavuni na kumuambia "Subiri nitenge chakula kipenzi".
.
Baada ya dakika mbili akawa ametenga chakula vizuri, chakula kilichopambwa kwa vyakula mbalimbali, juice, maji ya baridi, na matunda. Kazi iliyobaki ilikuwa kula, kulishana, kunyweshana, huku wakipigishana story mbalimbali zilizopamba chakula chao kwa tabasamu na furaha.
Hali iliyomfanya mume asahau kelele za boss wake kazini, shida ya foleni na usafiri wa Dar es salaam, na matatizo yote ya kifamilia.

Wakati wa kulala ulipofika, mechi iliandaliwa vizuri na kwa ubunifu mkubwa. Nachokumbuka ni kwamba walishusha mapazia ndomana sikuweza kuona kilichoendelea.

Baada ya mechi, mume alijichokea hoi, huku wote wakiwa wamefurahia tendo na siku yao.
Mchepuko kwa sauti ya kudeka akazungumza "Darling, halafu kodi yangu ya nyumba inakaribia kuisha, na yule mdogo wangu nae anatakiwa ada ya chuo".(Akizungumza huku anapapasa kifua cha mume, paja kamuekea maeneo rasmi)
Mume nae kwa upole akajibu: Mule kwenye briefcase kuna hela, utajichukulia kiasi unachopenda mpenzi.(akambusu huku akiendelea kushika shika nywele za mchepuko wake).
Mchepuko: Oonh really?? Asante sana baby(Akazungumza kwa furaha huku akimkombatia kwa nguvu)

Na usiku wao ukaishia hapo, akasahau hata kurudi nyumbani na simu ilizimwa.
Na hiyo ndo sababu jana mumeo hajalala nyumbani, akirudi hana hamu ya kula, wala kupiga story na wewe.

Kuna nyakati mnalalamika wanaume zenu hawawajali, hawawapendi, wanachepuka, wanawadharau, lakini unasahau kuwa hayo yote uliyasababisha mwenyewe.
Ukianza kujipenda wewe mwenyewe basi lazima utakuwa msafi, unajipendezesha ili kumvutia mumeo.
Ukijitambua basi lazima utajikuta unajua nguvu yako ya ushawishi iko wapi, na utaanza kuitumia ili kumvutia mumeo.
Unaweza lalamika mumeo kapewa limbwata na mchepuko, kumbe sio limbwata, ni mwenzako mjanja katumia nguvu yake ya ushawishi na kumfanya mumeo asahau njia ya kurudi kwako.

MAKOSA MAKUBWA NI HAYA;
- Kauli/maneno, kujali, muonekano/mvuto/usafi, mahaba, ubunifu/utundu/ujanja, ustadi kwenye tendo la ndoa, mapishi bora/uaandaaji wa chakula, Kusifu, na kuhudumia kwa unyenyekevu.

- Ukiona mumeo anakupa hela ya kula ndogo, ujue kwavile kashakinai chakula chako ...we kila siku ugali dagaa, wali maharage, ugali mchicha. Tibu njaa ya mumeo lakini mfanye awe anapata hamu ya kula chakula chako.
- Ukiona hana hamu na wewe ya tendo la ndoa, sababu anajua ubunifu, utundu, ujanja, uaandaji, uwezo wako wa kuvumilia mikiki mbovu.
- Ukiona hakujali, hapendi kukaa na wewe, hapendi kutoka na wewe, ujue sababu muonekano wako rafu, usafi wako sifuri, hujipendi, hujijali na wala humjali, kwakifupi hujitambui.
- Ukiona hamna urafiki basi ujue hamna mawasiliano, wala hamna story zenye kufurahishana.
- Ukiona mumeo ukieleza shida zako hana time na wewe, anasahau, hakusaidii, sababu anajua kauli zako, maneno yako, matendo yako, hayampi hamasa au hayamshawishi kufanya unavyotaka.
- Na ukiona mumeo kaanza tabia ya kuchelewa kurudi, au kutorudi kabisa na simu anazima, na akirudi sababu za msingi hana, basi ujue tayari kashampata wa kumuita "Darling, sweet, baby, honey, my love " kwa maneno na vitendo, sasa wewe baki na hiyo hiyo "BABA JUMA" yako...!!!
 
tofaut hakuna wote wanachuchumaa wakikojoa ila utofauti ni mkuwa mchepuko ni mtamu mno unafaa kulumagia kuliko mke wa ndoa walah mtu asie na mchepuko huyovni sawa na mhasham askofu wa kigango cha kimara mavurunza
 
Sio makosa that's nature,mke naye kwa mchepuko wake anamfanyia hayo
 
Mkuu kubali kataa wanaume haturidhiki, wengine wanafanyiwa hayo yote anayofanya mchepuko kwenye huu Uzi wako lakini bado wanachepuka hujiulizi kwa nini??

Mke ana radha yake na mchepuko unaradha yake wacha Maisha yaendelee.
 
Hatar

Hatare mazes du mchepukoo!
 
Mchepuko hauepukiki labda uwe mwanaume zoba umeshalogwa na mkeo
 
Mke hadi akufanyie hivyo ujue we ndio jipu.
 
Back
Top Bottom