Wakuu,
Napenda kujua mtizamo wa kisheria, mila na dini. Ikiwa imethibitika mtoto si wa baba (baada ya kupima DNA) lakini alizaliwa ndani ya ndoa halali ya huyo baba. Je haki zake ni zipi...
Habari ya humu,
Jamani mbona mimi sioni kama ni jambo la kushangaza sana au la kuumiza sana nafsi kwa mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja kama anauwezo wa kumhudumia vizuri (6x6) hata kwa...
Haki 'namba' moja ya mtoto wa kiume ni uhakika wa kurithi mali. Ndiyo, kwa vile yeye ndiye anapaswa na kutegemewa kuwa na hela. Watumiao husema 'mwaume gani huna hela' hawasemi dada gani huna...
Kutwa mnashinda kwa waganga, mmechanjwa chale hadi makalioni, yote hiyo eti mnataka kuolewa.
Wengi wenu na urembo wenu mnapigwa mimba na kisha kupigwa chini, halafu mnaanza kulalamika eti mna...
Habar Za Mida Hii Wadau
Wadau Jana Baada Ya Kutoka Kanisan Nililejea Nyumban Moja Kwa Moja Wakat Naingia Zangu Ndan Nikahisi Leo Jilan Yangu Ana Ugen Bass Wakat Ndio Nataka Kuingia Ndan Nikaita...
Jamani habari za humu ndani? Naamin mpo vizuri.
Sasa naomba mnishauri mm ni kijana nina umri wa miaka isyopungua 30 ninampango wa mwakani kuoa kwa maana ya kufunga ndoa, tatzo langu ni dogo sana...
Za uzima,,
Sikukuu kwa upande wangu haikua nzuri kabisa, mpaka sasa sielewi kama nilisherehekea pasaka au sikukuu ya wajing. Ni hivi nimesex na ndugu yangu kabisa bila mimi wala yeye kujua. Huyu...
Aisee natoa wito kwa TACAIDS waelewe kuwa Elimu juu ya Maambukizi ya Ukimwi bado haijawafikia Wema na Zari... hivi inakuwaje mtu anadate wanaume 9 wanaojulikana, ndani ya miaka 3 - 5, bado hapo...
Habari za mida?
Mimi ni mdada niliyewahi kutendwa na nikaumia sana sana sana hata niliwahi kuona maisha yangu hayana thamani yoyote nilishawahi kujaribu kujiua mara kadhaa lakini ilishindikana...
Fresh off the boat nilikuwa Zanzibar kwa ajili ya kusherekea sikukuu ya pasaka, katika harakati zangu za kutalii kwa kushangaa mji kidogo nikabahatika kukutana na mrembo mmoja aliyejitambulisha...
Kama unahitaji mume au mke wa kuwa nae maishani basi tafuta mwanamke au mwanaume wa kibondei. Ila angalizo. Wanajua kupenda kwa dhati na Wanajua kuchukia kwa dhati. Wakipenda, wanapenda kweli. Na...
Habari wadau wote hasa wataalamu wa mambo ya mahisiano. Hoja yangu ni kwamba kuna haja au umuhimu wa kusalimiana na mpz au mke mliyelala pamoja wakati wa asubuhi mnapoamka???
Inaweza kuonekana...
1. Mrembo sana wa sura na umbo halafu ni fundi sana kitandani ila, msomi ana kazi nzuri na hela za kutosha ila ni mpenda starehe, kila usiku ni night club na mnywaji pombe kwa sana, anavaa nguo...
Daah aisee wadada zetu wengine wamekubuhu.unakuta mdada ana mabwana hawajuani.mmoja mkoa mwingine anapoishi.sasa basi mmojawapo anaingia kwenye kingi (anampa ujauzito)lakini anakuwa hapendwi...
Huu ni msemo wa baadhi ya wanawake wanapokuwa faragha, mpenzi wangu mara nyingi nikienda dk 5 na zaidi huniambia hivyo, je ni kuridhika au ni kukereka... Nikimuuliza wewe tayari anasema ndiyo...
Hi MMU,
Nina Shogangu mumewe ameoa mke wa pili lakini yule mdada ni mkorofi utadhani yeye ndio mke wa kwanza, wakati mke wa kwanza ndio alokula dhiki na yule mume sasaivi mambo safi kiasi mume...
Kila side chick anatamani siku moja awe main chick, tena hawa ambao uliwambia Iam married halafu wanajifanya mioyo yao imetengenezwa na maganda ya bamia, anakwambia "worry not darling mi sinaga...
Girls wengi wanafunguaga thread humu wakilalamika kusumbuliwa na wanaume lakini hawawataki ila wanalazimishwa tu mapenzi
Mwanaume ukijiona humtaki na bado anakung'ang'ania we usihangaike nae...