Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nawasalimu nyoote!! Bila kupoteza muda naomba nianze kutoa experience mbili ambazo baada ya kuzipitia nikasema wacha nishare na wenzangu ili tuendelee kuimarisha mahusiano yetu na wenza wetu...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Kuna msichana tunakaa naye mtaa mmoja alisema ananipenda na kila nikienda mtaan kwao huwa ananishobokea kusema ananipenda. Nikaamua kuchukua namba yake na kumuuliza kweli unanipenda akasema ee...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Habari ya jumaa wapendwa! Baada ya kutoka zangu jogging na rafiki wangu wa faida, takaanza kutia story mbili tatu za hapa na pale,, huku tunatembea zetu mdogomdogo kuelekea home,, ghafla...
12 Reactions
78 Replies
6K Views
Hii ni tahadhali tu kwa wapenzi awe ni girlfriend au boyfriend mke au mume kuwa mbali na mwenzake kwa maana ya mmoja yupo Mkoa A na mwingine Mkoa B eti mnakaa mwezi au miezi kadhaa ndio mnakutana...
11 Reactions
45 Replies
12K Views
Hapo vip!! Kutoka na hali Ya maisha Ya ndoa Ya nyakati hizi,kuna umuhimu sana ikapelekwa bungeni mswada wa kupitisha ndoa Ya mkataba kwa sababau zifuatazo : Kwanza katika research niliofanya...
6 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari zenu wana JamiiForums, Kitengo cha LoveConnect? Nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni Bachelor degree, mimeajiriwa Serikalini. Natafuta mke mwenye vigezo vifuatavyo Awe na umri wa miaka 26...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu pole na majukumu, Kuna best yangu amenipa story nimeona nishee na ninyi. Ni kuwa huyo jamaa yangu alikuwa na msichana na akamuahidi kumpa kiasi kidogo cha fedha aenjoy weekend lakini...
4 Reactions
77 Replies
6K Views
Wale waliofanya utafiti ya kwamba macho yanaongea wapo sahihi asilimia mia moja,kwa Mara ya kwanza kabisa nilishawahi kumwangalia mwanamke bila kupepesa macho(unamwangalia kimahaba zaidi,sio kama...
8 Reactions
41 Replies
8K Views
Wadada wenye mashepu ya magunia ya sufi na sura wa mbuzi wakichokozwa na wanaume kwa lengo la kupita ama kupumzika nao wanaganda ili waolewe mpaka wanakera. Sijui ni uchache wa watia nia...
5 Reactions
88 Replies
6K Views
Ni kawaida marafiki kuitilafiana na wakati mwingine kutoleana maneno mabaya/matusi. Hali hii ya ku-udhiana uwakumba pia wapenzi na/au mtu na m-me/ke wake wakajikuta mmoja wao akimtukana mwenzake...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Picha linaanza nimetokea kumpenda mdada mmoja hivi.Kiukweli ni mrembo haswa kuanzia sura,kifua hadi kwenye nyonga.Nikatoa maneno yangu nikazungushwaaa lakini mwisho wa siku nikapewa nafasi kama...
7 Reactions
328 Replies
31K Views
Kama inavosomeka hapo juu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunatafta but hatupati Jaman mwenyez gundu gani hili
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni humu, leo nimeona nijiunge nipate ushauri wenu wanaJF, Nimeamua kujiunga baada ya kuambiwa na rafiki yangu kuwa alipata ushauri mzuri sana na umemsaidia kwa namna moja au nyingine...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Usiyafunue sana mahusiano yako na huyo mpenzi wako kama hamjafika kwenye hatua nzuri ya kufunga ndoa, yaani; 1.Amejitambulisha kwenu. 2.Amekutolea mahari. 3.Harusi inajulikana ni lini...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
PART 1 . Kila siku nilikua najiuliza nguo zangu za ndani zilikua zinaenda wapi, nilimuuliza mume wangu lakini hakua na jibu, yeye pekee ndiyo alikua anaingia chumbani kwetu, Dada wa kazi ambaye...
1 Reactions
48 Replies
28K Views
Niko na mpenzi ambaye tumedumu naye kwa miaka mi 3, mahusiano yetu huwa tunaachana na kurudiana, huyu msichana kiukweli ananipenda sana ila mimi simkubali sana kihivyo, huwa nampendea msambwanda...
0 Reactions
131 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…