Mapenzi Haya jamani acheni yaitwe mapenzi, miaka kumi na Tatu iliopita nilikuwa na Mpenzi wangu ambae kutokana na sababu zilizo kuwa nje ya uwezo wangu nilipoteza mawasiliano yake kutokana na yy...
Ni takiribani mwaka mmoja tangu nilipomuoa. Kabla ya hapo alikuwa akiishi na mama ake wa kambo.
Tangu nimemuoa huyu mke wangu mama ake huyu amekuwa kila mara akija kwangu [kama mara sita au 5] na...
Raha ya kutongoza mwanamke aone aibu kama ikitokea mmesimama achume majani, akate miti namna hiyo.
Sisi wanaume tunapenda sana sio nakutongoza umekaza sura hapana. Enzi zile tuko vijana ilikuwa...
Aiseeeh kweli kila mwaka na vituko vyake!
Najua wengi mnakumbuka enzi zile za Tangazo la Fataki.
Fataki ni mbaba mwenye pesaa ana familia yakee lakini ana tabia ya kutongoza na kutembea na...
Kuna baadhi ya Wanaume akiambiwa panda mgongoni mwanaume wa watu anaona aibu.
Basi hata kumbeba mke wako hakuna na hivi siku hizi hamna nguvu kisingizio nimechoka kazi zinachosha.
Kukatwa...
Wanaoongoza kuanzisha Mada za Wanawake kutokuolewa sijui baada ya umri fulani ni Wanaume na siyo Wanawake wenyewe ambao ndiyo wahusika wakuu kama ambavyo wengi wetu tungetegemea, sasa ni kwa nini...
KW jin naitw jumer nip Dodoma ninaumri wa miak 21 natafut wa din yoyt ile awe wa rang yoyt ile pia awe na umri kuanzia miak18-28 asiwe mnen awe mwembab na mweny Shep nzur awe natabia nzr2 anichek...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Bado niko Dar sijarudi Mwanza niko nazunguka zunguka mitaa tofauti tofauti ya hapa nikijionea uzuri wa mji ili nami...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,
Toka nimuoe huyu mwanamke huu ni mwaka wa kwanza.
Huwa nina utaratibu wa kila siku kuomba mechi nipige japo...
Jamani nimetokea kuwa na matumizi makubwa na kupata kilevi to a high extent mpaka nahisi my gal ataniwacha sooner or later
I am not myself anymore and I need your help friends seriously,I have...
Habari za mapumziko wana jukwaa!
Kuna jambo mimi hunitatiza sana naomba mnisaidie. Imekuwa ni kawaida kuona kina dada/mama wakifanya mambo au tabia ambazo kikawaida kwa sisi waafrika tunaona ni...
Habari wandugu?
Samahani, hili swali ni ruksa kwa wote.Aliye ndan ya ndoa na ambae bado hajaingia.
Ni hivi hivi mapenzi au ndoa ya kuishi mbali na kuishi pamoja kila siku mkiwa mnaonana kipi...
Hiv wadau ni uongo gani ambao umewahi kumdanganya au kudanganywa na mpenzi wako hadi ukajuta.
Binafsi mpenzi wangu alinidanganya ana mimba yangu like hajaona siku zake miezi miwili na alikuwa ana...
Jamaa alikuwa anatembea na mke wa mtu, kisa alimletea mayai na kushindwa kuyalipa na ikabidi mke amlipe kwa staili ile, sasa kilichotokea ni jamaa mwenye mke alipofika ikabidi mwizi ajifungie...
Habarini za kazi wana JamiiForums,
Bila kupoteza muda naomba kutiririka moja kwa moja, hoja yangu iliyopelekea kuandaa uzi huu.
Kwanza nianze kwa kusema nawapenda sana tena toka moyoni...
Ndio maana nawapenda sana wanawake na kuwaheshimu sana. Kina mama wana huruma sana.
Ex wangu anategemea kuolewa April 29, 2018 . Kaniomba tuonane mahala patulivu na mahala binafsi aniage once and...
Eti wadau,
Kumtongoza mwanamke then siku hiyohiyo ukataka kumvua chupi ni umalaya au inakuwaje?
Je, na wale wanawake wanaotongozwa siku hiyohiyo na kumegwa (one night stand) inakuwaje pia?
Vipi...
Mimi ni msichana wa miaka 27, mwajiriwa selikalini naishi Mbeya. Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Nimeokoka. Mimi naamini mume au mke mwema anatoka kwa bwana but unaweza kukutana nae popote. Nami...