Soma habari hii fupi kisha angalia picha
Hii imetokea Africa kusini
Maamuzi ya kugombea mtoto baada ya wazazi kufarakana... Ikaamuliwa mtoto abaki na mama yake kitu ambacho baba hakukubaliana...
Kuna demu alinidanganyaga yeye bikra..
Basi nikawa nna hamu nae balaa tena kipindi hicho sijawahi kutoa mwanamke bikra naskiaga tu..
Ndo nikapewa namba na demu mmoja rafiki yangu anarafiki yake...
Hupenda mno ' Kujipendekeza / Kujikomba ' kwa ama Wakubwa au wenye Utajiri
Hupenda sana Kuvaa nguo za ' Kubana '
Wengi wao mara nyingi hata ' matako / makalio ' yao kila kukicha huongezeka ukubwa...
Bwanaaaa Apewe Sifaaaaa!
Kwanza kabisaaa katika jitihada zangu zoote za kuokokaaaa sijawahi kumuandika Mungu story ya kumtukuzaaaa. Imeniumaaaa sanaaaa hii issue.
Kwanza naomba mdisregard thread...
Kipnd nasoma o level nilipata mtoto mmoja mzur huyo hatar.. ila alikuwa mlokole.
Story zetu bas ni za dini tu.. hakuna bla blah kipndi hicho nasoma morogoro shule moja inaitwa kigurunyembe...
Tutadanganyana lakini wanawake wa Kiafrica majuu hawana deal hawana soko zaidi ya kuchezewa vya kutosha.Akishachokwa ndio anamkumbuka jamaa aliyepo dunia ya tatu na kuanza kumpambapanda ili aje...
Mlio na ' Video Clip ' yake mtanisaidia kuiweka hapa ila itoshe tu kusema kwamba ni Mwanamke miongoni mwa wale ambao jana walienda Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa matatizo mbalimbali...
Kuna aina za marafiki ambao hukuinua juu na wenye nuru na nguvu juu ya maisha yako. Hawa usihangaike kuwatafuta. Lakini ukiwa nao waweza hakikisha unaulinda huo urafiki.
Hawa ni
1. PACHA NAFSI...
Jamani naomba msaada wenu.
Nina mchumba wangu nampenda sana. Ila anapepo linalomsumbua na nimejihakikishia kuwa hili pepo linanichukia mimi sana.
Hili limekuwa likimpanda tukifanya mapenzi...
1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye binafsi hajipendi.
2. Mtafute MUNGU, fanya kazi kwa bidii then pata mwanamke/ mwanaume bora, ukifanya hayo mambo matatu kwa usahihi, suala la kufanikiwa...
Huyu ni mwanamke niliye dumu nae kwenye mahusiano kwa kipindi cha mwaka 1baada ya kumuona amekengeuka na kubadilika nikaamua niachane nae kimya kimya, nilichokifanya ni kuhama mahala nilipokua...
Habarini za asubuhi.
Wakati tunakwenda makazini tujukumbushe yafuatayo.
Mambo yamebadilika kwa sasa na dunia imekuwa kijiji ambacho mwenye nguvu ndio anakula mema na tunawaandaa watoto wetu kuja...
Eti wana jf!
Unachukuliaje mwanamke wako au mwanaume ametoka home fresh then baadae anarud kachora tattoo mwilin!???
Unakuta dem wako! Kachora tattoo kiunon au kwenye titi..
Au kwenye mapaja...
Siku hizi sio kama zamani kabisa!!
Yan watu hawa aminiani.. yan kuna mdada ukimsalimia kwanza lazima akuangalie mara mbili mbili ndio aitikie..
Kuna mwingine ukiomba tu namba kwa mawasiliano mhhh...
Ana 36yrs ila hana mtoto mwezi uliopita alishika mimba, Jana akawa analalamika tangu asubuhi kuwa tumbo linamuuma jioni akaona hedhi.
Akawa na hofu kuwa huenda ameharibu mimba, Leo asubuhi...
Hivi ni kweli kuna mwanaume anakosa mwanamke wa kumuoa mpaka anakata tamaa ya kuwa na familia?
Kuna mwalimu wangu wa primary kwa sasa anakimbilia 40 lakini hana mke wala mtoto, ukipiga nae story...
Katika pita pita zangu nikiwa kama kidume rijali mwaka jana mwezi wa sita nilitapa ajali! Nilipata bahati mbaya ya condom kupasuka basi baada ya kupasuka nikamaliza kula tunda nikamwambia bibie...
Hapo vip!
Kuna muhubiri mmoja nimesikiliza, eti anasema wasichana wazurisana (pretty girls), huwa hawaendagi kanisani...
Anasema, huwa hawa unawakuta kwenye macasino,clubs,bar na sehemu za...