Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,290
- 866,763
Soma habari hii fupi kisha angalia picha
Hii imetokea Africa kusini
Maamuzi ya kugombea mtoto baada ya wazazi kufarakana... Ikaamuliwa mtoto abaki na mama yake kitu ambacho baba hakukubaliana nacho....
Kwahiyo akamchukua mtoto na kumrusha toka gorofani ili wakose wote
Mungu ni mwema... Mtoto aliokolewa na baba kutiwa nguvuni
Kuna kesi nyingi za namna hii hapa kwetu za kugombea mtoto /watoto... Kisa hiki cha kweli kitutafakarishe