Marafiki wa Faida katika Maisha

Marafiki wa Faida katika Maisha

DaveSave

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
444
Reaction score
654
Kuna aina za marafiki ambao hukuinua juu na wenye nuru na nguvu juu ya maisha yako. Hawa usihangaike kuwatafuta. Lakini ukiwa nao waweza hakikisha unaulinda huo urafiki.

Hawa ni
1. PACHA NAFSI (soulmate).
Huyu ukiwa ktk matatizo hata uko mbali namna gani atakujulia hali. Nafsi yake pia itakua inaugua na huenda akakupigia simu. Ukarimu wenu hudumu na mnavozidi kua karibu ktk mambo ya kusaidiana huleta hisia za undugu wa karibu sana.

2. PACHA MOTO (Twinflame).
Huyu huja kwa spidi na mlipuko wa hatari. Unaweza usijue mmezoeana vipi na urafiki huu hua mgumu kuvunjika. Wkt.mwingine mnakua ktk ugomv lkn bado kuna mvutano wa kiupendo. Hujawahi sikia mtu anasema" Hivi kwann uko bado na huyu rafiki na alishawah kukukatili hivyo?" Huyu hata ukigombana nae bado moyoni utasikia kama unadaiwa urudishe urafiki.

MAANAKE NINI, KUNA RAFIKI UKIMNG'ANG'ANIA ATASABABISHA UFANIKIWE JAPO KUNA MAKWAZO YAWEZA TOKEA.

Kikubwa ktk maisha chagua maisha upendayo. Jikarimu wewe mwenyewe na pambana na maisha kuyatengeneza Uishi vyema. Usiangaike kutafuta yupi ni rafiki mwema yupi mbaya. Songa mbele.
 
Back
Top Bottom