pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Siku hizi sio kama zamani kabisa!!
Yan watu hawa aminiani.. yan kuna mdada ukimsalimia kwanza lazima akuangalie mara mbili mbili ndio aitikie..
Kuna mwingine ukiomba tu namba kwa mawasiliano mhhh anaweza akakujibu jibu hilo hadi ukakumbuka jina lako la utoto!??
Mbona wanawake mmepoteza imani na wanaume!??
Tumewafanya nn!??? Au tumekosea wapi!??
Siku hizi mnaangalia hali zetu kuliko utu wetu.. yani nikiwa na kigali au nyumba au status mjini ndo naweza kuwa karibu na wanawake wengi wa mjini..
Lakin ukiwa unaishi kawaida mwanamke akikuzoea ujue ni kati ya wale wanawake wachache waliobaki wenye misingi..
Au kuna sehemu huwa mnaonana either kazin au mlisoma wote au mnaishi mtaani...
Hakuna social bond kabisa kati ya viumbe hivi viwili..
Na ndio maana sikuhizi wanaume wamekuwa waongo na kudanganya shuhuli zao ili mradi tu awe karibu na mwanamke anaemtaka..
.
Tunaishi maisha fake yasio asilia.. yaan kuna bidada utamuona anaringaaa mpaka unajiuliza huyu ana nn!?? Ana vimba kwelikweli ujue hapo kuna mtu anamuweka mjin afu mambo flan yapo..
Mwisho... pia kuna wadada wepesiiiiiiiii.. unaweza kuomba namba akakupa hadi chozi linamtoka kwa furaha...
Wanasumbuaga hao.. kutwa kupiga simu na kuchatiiii mpaka unajiuliza mhh huyu vipi!??
Ukiona hivyo ujue hali zetu ni kama sisi tu yaan kawaida..