pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Eti wana jf!
Unachukuliaje mwanamke wako au mwanaume ametoka home fresh then baadae anarud kachora tattoo mwilin!???
Unakuta dem wako! Kachora tattoo kiunon au kwenye titi..
Au kwenye mapaja halafu mtattoo wenyewe hata haueleweki.. ua sio ua, bangi sio bangi, kipepeo kimekaa kama kenge, au utakuta kaandika maeno ya kichina hata hajui maana yake..
Utafanyaje kama ndo wewe!??
Utafurahi mwenzio awe na tattoo!?? Coz saiv ndo fasheni kati ya watu kumi watano wana tattoo!
View attachment 746743