Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadada wa Dar wasanii sio watu wema kwenu, sasa msanii anakutumia miaka mitano kisha anaenda kuoa mtu mwingine ila hamkomi. Sisi wanaume wenye maisha ya kati huwa tunafurahi mkikomeshwa halafu...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Awe muislam au alie tayari kuwa muislam, umri miaka 28-32, awe tayari kwa ndoa kwa aliye serious, aliye na nia na vingine nilivyotaja aje pm, coz sitazungumza chochote zaidi kwenye thread siku njema.
10 Reactions
35 Replies
5K Views
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na video nyingi za wasanii wakitupia mitandaoni wakioneshana mahaba. Either wapo kitandani au sehemu nyingine lakini mara wakilana mate, mara wakishikana shikana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale tunaowatabiriaga wanaume kabla ya match, kwa kuwaangaliaa au kwa kushika shika dudu, hamna mtu asiyetabirika kama mwanaume. Unaweza kumdharau ukajua hamna kitu huyu hata nikiwa naye...
8 Reactions
82 Replies
7K Views
Sifa zote njema anastahiki Allah aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ahli zake, Sahaba...
12 Reactions
77 Replies
12K Views
Mimi ni mwanaume halisi najitokeza kwa mara ya kwanza kumsaka Rabeca na nukuu ukisoma Mwanzo 24:44,mwanzo 24:61-67 na amini kabisa mke bora anatoka kwa bwana.umri wangu ni miaka 34,nina elimu ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna kipindi ilikuwa nikizinguana na demu wangu basi alikuwa anaanza kumsifia Mwanaume mwingine ambaye namfahamu wakati mwingine kulingana na jinsi nilivyolichukulia alikuwa mpaka hata anaongea...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwaka unaisha na midomo inaanza kujiandaa kutamka umri mpya. Kufikia kipindi kama hiki mwakani panapo uzima, karibia kila mtu atakuwa ameshatamka umi wake mpya. Wengi itakuwa bado miaka miwili...
109 Reactions
439 Replies
78K Views
baada ya salamu na stories mbili tatu .....anaanza kusimulia Msuya huku akiwa na huzuni kiasi flani "nina msichana kwa muda wa mwaka sasa... actually hatujaoana rasmi tupo kwenye mazoezi ya ndoa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Sote tunajua ndoa zimekuwa ajira, ndoa ni maisha kinachonishinda kuelewa ni unaanzaje? Msichana kwa umri wowote ulionao. Ukiwa timamu kabisa kichwani na maungo mengine kwenda kuolewa na...
7 Reactions
241 Replies
17K Views
Ni ni miaka mitatu sasa imepita toka tukio lile litokee lakini naikumbuka sana siku ile kama vile ilikua jana tu. Sikua nimetoka home siku hiyo, alikuja rafiki yangu George na kuniomba nifatane...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Unaweza ukabisha kabisa na usiamini hata chembe lakini hili jambo lipo tena enzi na enzi na haliishii kwa wanaume tu bali hata kwa wanawake na huku ni kuwafanya wanawake kuwa wagumba au kukosa...
2 Reactions
49 Replies
16K Views
Binafsi naona Viungo vyote katika mwili wangu vina umuhimu sawa hasa kutokana na uwepo wake ila nimedokezwa kwamba kumbe kuna ' Kiungo ' ambacho kilimlazimu ' Maulana ' kukesha kukifikiria...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari za Weekend wana JF, ni matumaini yangu muwazima wa Afya njema, na wale ambao kwa namn moja au nyingine hawako njema kiafya, Mungu awajalie muweze kurejea katika hali zenu za kawaida ili...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
SIKU MKEO AKIANZA KULALA NA MWANAUME MWINGINE JUA KIFO CHAKO KI KARIBU....... "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na...
12 Reactions
116 Replies
11K Views
Nimeamini chozi la mwanamke haliendi bure niliwahi ku take advantage kwa mwanamke aliekuwa ananipenda kwa dhati sio siri nilikuwa nampa mawazo sana na hana la kufanya kwasabab kafa kaoza nilikuwa...
18 Reactions
112 Replies
14K Views
Maneni haya aliyasema Stella alimtamkia mama yake. Stella alizaliwa kijijini huko Kaliua, alikuwa msichana mwenye sura ya kawaida lakini mwenye akili sana darasani. Alimudu vizuri hesabu na...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna mdada ameolewa na jamaa anasura ngumu sana amezaa nae mtoto pia anasura kama ya baba yake ingawa mtoto kachukua uzuri kidogo kwa mama yake lakini masikitiko yake ni kutokua huru kuongozana na...
6 Reactions
72 Replies
6K Views
Ukisema kuwa kumjua biological father si lazima binafsi naona halijakaa vizuri!! Tumeona watu wakiitwa uhamiaji kuchunguza uraia Wa MTU .Maana Yake wanataka kujua baba Yake na babu zake ni nani (...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…