AsanteDah aisee umefanya uamuzi wa busara sn wenzako..wanasambaza tu
We unafikiriaje?DAAAH KWANI UNAHITAJI NA WEWE UWE MKE HIV+!!!
Thank u.Kila la her
Mume muathirika wa VVU anaitajikaAwe muislam au alie tayari kuwa muislam, umri miaka 28-32, awe tayari kwa ndoa kwa aliye serious, aliye na nia na vingine nilivyotaja aje pm, coz sitazungumza chochote zaidi kwenye thread siku njema.
Ur welcomeThank u.
Vipi? Umeshampata au bado nije pm
Kwani nani anamtafuta?Vipi? Umeshampata au bado nije pm
Tukutane pmAwe muislam au alie tayari kuwa muislam, umri miaka 28-32, awe tayari kwa ndoa kwa aliye serious, aliye na nia na vingine nilivyotaja aje pm, coz sitazungumza chochote zaidi kwenye thread siku njema.