Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nakerwa sana na tabia mbaya za dada zetu wa kitanzania ambazo hazifai kwa mwanamke wa kuoa. Hawa wa kwetu hapa tz ni:- 1.wajuaji sana 2.wanaongea maneno yenye kero sana 3.wanadharau waume zao...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani jamani! Jamani jamani! Jana bhana nikampata mchumba mkali sana! Sharti la kwanza ni kupima UKIMWI mbele yake na yeye kupima mbele yangu. Maswali yakaanza toka kwa mpimaji:- Kijana. 1...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Watu husema maisha popote ila linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha unapaswa kujiongeza. Tulipokua vyuoni wengi tulipata wapenzi na kwa kipindi kile japo tulikua tumeshapevuka kiakili...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Ni mwanamke niliyempenda sana ni mwanamke aliyeniridhisha kila nilipomhitaji lakini amebadilika ghafla baada ya mimi kumkosea mara moja vitu vilivyonisababisha niachane naye ni; Kelele anaongea...
12 Reactions
52 Replies
6K Views
Wanajamii mwenzangu hataki hata kunisikia...leo kagoma kupika then kanambia kashtaki tena jf coz anasema amewahi kuona mashtaka yangu 1. Kumkumbuka alemtoa kimfuniko na 2. kuhusu cm ya usiku...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam wakuu..... Niende kwenye mada tajwa moja kwa moja Kwa siku napokea simu zisizopungua 10 kutoka kwa marafiki, ndugu na hata wafanyakazi wenzangu. Kati ya hizo 4 hadi 6 lazima ziwe zimejaa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
M A R T W I F E . Asubuhi ya leo, walikuwa na ugomvi mkubwa. Jioni hii Mumewe amerudi kutoka kazini bado akiwa na hasira na mkewe. Mume akaingia ndani ya nyumba, tayari kwa ugomvi mwingine tena...
21 Reactions
56 Replies
5K Views
Utakuta mwanaume anasotea demu, hadi aje ampate ni mwezi. Au wengine wanakosa papuchi kabisa hata miezi 3-6, labda akanunue. Lakini mwanamke utakuta ana wanaume wengi hadi 10; mme, michepuko...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilichogubdua kuna haja ya kumpima imani mwanamke unayetalajia kuoa , unaweza hata usimpe chochote ili uone hilo atalipokeaje tena kama umepanga nyumba nzuri plz mpeleke hata kwa rafiki yako...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mmoja wa mwezeshaji wa chanjo mkoani Tabora analalamika kuwa moja ya sababu inayosababisha kansa ya shingo ya kizazi ni pamoja na matumizi ya tumbaku kwa wanawake kwa kutumia kawaida na kuweka...
1 Reactions
101 Replies
16K Views
huyu dada ni mlimbwende kweli kwelikweli jamaa yake ni mchaga yupo na maduka ya jumla,dada mweupe,mrefu kidogo,amefungashia kimzigo flan cha kichokozi,yuko smart sana,katika stori za hapa na pale...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Wakuu habarini, Wazazi wetu wanapozeeka sisi ndo tunapaswa kuchukua majukumu ya kuwalea na kuwatunza maana hata wao walifanya hivyo kwetu hivyo ni haki yetu ya lazima kuwalea.Sasa kwenye kuwalea...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanajamii forum Kuna kitu mimi nakiwaza sana ila sijapata jibu.Ina maana hao wanawake wote waliojitokeza kwa RC Makonda ndio tuseme wanaume wamewakosea kweli au jeuri tu za hao wanawake...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mama alianza kumtoroka Mumewe na kutokomea kusikojulikana huku akimuachia mumewe huyo kichanga. Baadae baba alipoona hali si shwari na yeye akatokomea kusikojulikana wakikiacha kitoto kichanga...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanaume mmekuwa chanzo cha kufanya wake zenu kutoka nje ya ndoa(kuchepuka) kutokana na upweke wa moyo walionao, nitatoa sababu kazaa 1.MAWASILIANO, kipindi mpo wapenzi mlikuwa mnatumia muda...
10 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu habari za mda huu, Straight to the mada. Mwenzenu niko njia panda kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano ni wa mda mrefu kidogo na plan zetu ni kuoana Mungu akijaalia ila mimi ndo...
5 Reactions
111 Replies
8K Views
Habari za majukumu wakuu, Ni mwezi wa saba sasa tangu nianze bajeti ya kumtengea mzazi wangu kiasi cha matumizi ambacho nimeweka 'permanent' nifanye hivyo kipindi cha nyuma nilikua sijamwekea...
7 Reactions
108 Replies
8K Views
Leo nilikuwa na mtihani flani japo nimefeli vibaya mno nilijiandaa vizuri na nilikuwa na confidence vizuri ila asubuhi niliota ndoto mtu ananiambia maneno haya "A God's appointed time,you will be...
16 Reactions
51 Replies
5K Views
Kwa wanaume, ushawahi kufanya hilo? Yaani kitu pekee kilichokuvutia kwa mwanamke ni muonekano wake? Je, ni sawa kufanya hivi?
2 Reactions
68 Replies
6K Views
Habari zenu, Kama kichwa cha habari kinavyosema, Kwa kweli kuna wanawake pasua vichwa. Kuna wanawake 2 kwa nyakati tofauti, walikuwa wakorofi (full parties), nyumbani ni kelele za music sound...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…