Kwanini mwanamke aliye kwisha zaa anapewa nafasi ndogo sana ya kuolewa kuliko mwanaume mwenye mtoto?
Kabla hujamunyoshea kidole mama mwenye mtoto ila hana mume kwanza jiulize mazingira ya yeye...
Tunafundishwa na wataalam kuwa kuanzia mtoto akiwa tumboni hadi anapofika miaka miaka angalau sita hapo ndipo wqkati makini wa kumjenga kitabia.
Kuna tabia wazazi kupoteza nguvu na muda mwingi...
Yupo bwana mmoja alinieleza masikitiko yake jinsi mkewe alivyoiendesha kesi baada ya binti wao wa kazi kupata mimba.
Yaani Mama aliwaweka kitimoto vijana wao wawili pamoja na baba (mumewe) kwa...
Habari!!:)
Natumai kuwa wote ni wazima wa afya, Uzi huu ungependa kuona mitazamo ya watu mbalimbali juu ya suala la dini katika mapenzi baina ya watu wawili wenye malengo endelevu katika...
Niko na mpenzi for almost five years now na tulipanga mwishoni mwa huu mwaka tufunge ndoa.Shida imetokea baada ya kugundua anachepuka na nilipofatilia nikagundua mmoja kati ya michepuko yake...
Tulio zali was na makaka tumeyaona na tumepitia maisha ya kaka kuwa na mapenzi na best friend wako, mapenzi yake yakiishia kwenye ndoa ni kheri na baraka. Sasa ukifika mahali mapenzi yake...
Habarini jamani ,
Baada ya salamu naomba nisiwachoshe wala tusichoshane na maneno mengi, natua moja kwa moja kwenye mada ,
Katika kusoma soma kwangu Biblia toka kwanzo hadi nilipoishia Mwenyezi...
I actualy met several..ukwel ni kwamba, WENG wako huku wanajiuza,..tena sana sana hao mastaa...kama hutak kuamin huu ndo ukwel. Watu wanahis wanafanya biashara ya drugs,ila si kwel,..biashara yao...
Hebu tuambieni ukweli hivi ni kweli kuna mtu anaweza kumvumilia mpenzi wake kutofanya mapenzi hadi ndoa maana nazungumza hivyo nina mshikaji wangu amepewa hayo masharti wasifanye mapenzi hadi...
Kikawaida jinsia ya mtoto hutambuliwa kwa kutizama viungo vyake vya uzazi, hapo ndipo tunapo weza kusema huyu ni mtoto wa kike na huyu ni mtoto wa kiume.
Mtoto anapozaliwa katika ukuaji wake...
Kenya imechaguliwa kuwa sehemu ya utafiti wa vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume.
Nchi nyingine zinazoungana na Kenya ni Uingereza, Italia na Chile ambapo wanaume watatakiwa kunywa kidonge...
Kada mada inavyosema nahitaji kuwa na wake watatu niwapende ila lazima wazae watoto saba kila mmoja maana kikwetu tunaamini ukiwa na familia kubwa na uchumi unakuwa nyie mnaohangaika na mke mmoja...
Unapenda? Hayo ni matamanio yako. Unapendwa? Hiyo ni bahati yako. Wajibu ambao unapaswa kuutambua ni kumpenda anayekupenda.
Nifafanue hili; kumpenda anayekupenda haina maana kumwelekea akupendaye...
wanume tunamatatizo sana wakuu.utakuta kidume kinalalama eti mke wake hajui kukatika
alafu anasimulia anasema staili ni kifo cha mende anamlalia mkewe Huku ana kitambi kikubwa kama mimba ya...
Habari wadau,poleni na mapambano ya kimaisha.Naitaji ushauri wenu,mchumba wangu wa pili amekuwa akinidanganya kuwa ni mjamzito kwa miezi 5 sasa,juzi alikuja kunitembelea,hakuwa na dalili yoyote ya...
Habarini za mchana natumaini ni wazima wa afya tele,
Hivi kwanini wasichana wengi warembo huwa wanakosa kujiamini kipindi wanatongozwa na wanaume kwa sababu nimefanya kautafiti kidogo tayari...
UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME••••
1. Kwenye mshituko; Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua...
Habari zenu wadau,
Nimekua na mahusiano ya zaidi ya miezi 7 na binti mrembo sana, tangia nizaliwe sijawahi kumuona mwanamke mrembo duniani kama yeye, rangi yake ya kahawia, sauti nyororo, macho...