Nafasi ya dini katika mahusiano ya kimapenzi

Worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,933
Reaction score
3,777
Habari!!🙂

Natumai kuwa wote ni wazima wa afya, Uzi huu ungependa kuona mitazamo ya watu mbalimbali juu ya suala la dini katika mapenzi baina ya watu wawili wenye malengo endelevu katika mahusiano hayo.😀

Tumekua tukishuhudia mahusiano mengi yakishindwa kufika katiaka ndoa, huku kikwazo kikubwa kuwa ni dini tofauti za wapenzi hao, suala la dini limekuwa kikwazo kikubwa sana katika mahusiano ya kimapenzi.🙁

swali je? dini inanafasi yoyote katika swala la mapenzi? ni sahihi kwa watu wapendanao kwa dhati kuachana kwa sababu ya kuwa katika dini mbili tofauti?🙄

KARIBU
 
Mmmh leo nimewahi
 
Kabla ya dini watu walikua hawapendani? Hawaoani? Hawaachani?

Kuachana kwa mtu na mtu naamini dini haihusiki kwa sababu mtu ni zaidi ya imani aliyonayo juu ya njia ipi itamfikisha peponi.

Tujitahidi kuona qualities zaidi ya dini aliyonayo mhusika.
 
Tujitahidi kuona qualities za ya dini aliyonayo mhusika.
nimekupata sana.😀
 
Dini ni utamaduni, pia imani. Mkiwa dini tofauti mnakuwa Na imani tofauti Na utamaduni tofauti
jibu lako ni fupi lakini lina maana kubwa sana mtu akikaa chini nakulitafakari vizuri.🙂
 
Kabla ya dini watu walikua hawapendani? Hawaoani? Hawaachani?

Kuachana kwa mtu na mtu naamini dini haihusiki kwa sababu mtu ni zaidi ya imani aliyonayo juu ya njia ipi itamfikisha peponi.

Tujitahidi kuona qualities zaidi ya dini aliyonayo mhusika.
Ahsante
 
Kuhepuka sintofahamu baadae haswa kwenye suala la kufunga ndoa ni kheri uwe na wa dini yako. Ila nimeona familia fulani Mwanamke(muislamu) ameolewa ndoa ya bomani na mwanaume (mkristo) na wanaishi mpaka leo na kila mmoja kabaki na dini yake, watoto wote wamefuata dini ya Baba...najua kuna changamoto zao wanazipitia au walizipitia
 
Back
Top Bottom