Anataka tufunge ndoa usiku baharini (deep sea)

Anataka tufunge ndoa usiku baharini (deep sea)

Joined
Apr 23, 2018
Posts
8
Reaction score
11
Habari zenu wadau,

Nimekua na mahusiano ya zaidi ya miezi 7 na binti mrembo sana, tangia nizaliwe sijawahi kumuona mwanamke mrembo duniani kama yeye, rangi yake ya kahawia, sauti nyororo, macho yake nikimuangalia huwa nahisi kama dunia husimama ghafla na mapigo ya moyo huenda mbio.

Nampenda sana kwa kweli, i would take millions of bullets in my chest for her, i would climb the tallest mountain and swim the deepest sea for her. my love for her is absolute and unconditional.

Kilichonifanya kuja kuandika huu uzi ni kutokana na tabia zake zisizo za kikawaida (strange behaviors), alinambia hana wazazi, wazazi wake wote wawili walifariki miaka 10 ilopita katika ajali ya gari, yeye alikua ni mtoto pekee. Tangia hapo akawa anaishi peke yake (lonely life, hakuwa na marafiki wala ndugu wa karibu) hadi nlipokutana nae mwaka jana mwezi wa Oktoba.

Last week i proposed to her, na akanikubalia nimuoe ila kwa sharti moja tu ndoa yetu ifanyike usiku wa mbalamwezi (full moon) na iwe baharini mbali kabisa na nchi kavu (deep sea).na pia tuwe wawili tu, tusimualike mtu.

Nilipomuuliza ni kwa nini anataka tufanye harusi yetu huko, akaniambia its the only place where she feels at home (ndio mahali pekee anapojisikia yupo nyumbani).

Because of how much i love her, nimejikuta namkubalia sharti lake. kwa kweli i can't afford to lose her. Kila muda nikimuangalia huwa anatabasamu na kuniambia "you'll be free soon" ( yaani nitakua huru karibuni). Nikimuuliza anamaanisha nini, ananiambia "have patience" (yaani niwe na subira).

1.jpg
 
hata kama zama zimebadilika si kwa mtindo huu sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tushazisoma sana hadithi za hivyo mkuu, tafuta uongo mwingine
 
hahahaha!
yaani Mshana kazaa mtoto wa namna hii kweli?
 
Back
Top Bottom