mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Tunafundishwa na wataalam kuwa kuanzia mtoto akiwa tumboni hadi anapofika miaka miaka angalau sita hapo ndipo wqkati makini wa kumjenga kitabia.
Kuna tabia wazazi kupoteza nguvu na muda mwingi kumfanya mtoto ajue kuongea kiingereza, ajue kutumia compyuta, kuwa mjuaji akiwa mdogo sana bila kujua kuwa mtoto hayo mambo yote bila wewe mzazi kuwa role model wake ni kumsababishia misongo ya mawazo tu (frustration).
wewe ndie role model wa mtoto wako, katika umri huo mtoto hakuangalia wewe zaidi.
Mwenendo wako na mkeo/mmeo/yaya wako unanafasi kubwa zaidi ktk ukomavu na uimara wa Muda mrefu wa mtoto wako.
Hayo mengine ya ni kitu cha pili.
Wewe ni role Model wa mtoto wako hasa anapokuwa mdogo kabisa, WATCH OUT.