Malezi: Fahamu jinsi ambavyo mzazi anaweza kuharibu future ya mtoto katika mahusiano

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,626
9,173
Kikawaida jinsia ya mtoto hutambuliwa kwa kutizama viungo vyake vya uzazi, hapo ndipo tunapo weza kusema huyu ni mtoto wa kike na huyu ni mtoto wa kiume.

Mtoto anapozaliwa katika ukuaji wake hujifunza mambo mengi kama vile kuongea, kutembea, kuvaa, tabia n.k kutoka kwa wazazi/ walezi na jamii nzima inayomzunguka. Mtoto anapo kuwa katika umri wa mwaka 1 hadi maka 6 hujifunza mambo mengi kutoka kwa wazazi au walezi.

mfano
Mtoto wa kiume akilelewa na mama peke yake na katika mazingira yanayomzunguka yakawa ni ya wanawake wengi kuliko wanaume, automatically mtoto huyo atakuwa katika misingi ya tabia za kike mfano uongeaji, namna ya kutizama, kutembea kusimama kurusha mikono, kucheka kuvaa, kujjremba kujipodoa feminism n.k mtoto huyu ktk ukuaji wake kama mama hakuwa mjanja kumsisitiza na kumchanganya mwanae ku socialise na watoto wenzake wa kiume pia kuspend muda kidogo na watu wa jinsia ya kiume,

Mtoto huyu akifikisha miaka 14 (wakati wa barehe na kuendelea) kuna uwezekano mkubwa akaichukia personality yake ya kiume na kuamua kuendelea na kile alichokizoea toka utotoni (kuishi kama mwanamke) matokeo yake anakuwa ameathirika kisaikolojia na kupelekea ku behave kama mwanamke, hapandipo mtu huyo huweza kuwa shoga n.k

kinyume chake kwa mtoto wa kike pia aliyelelewa na baba.
NB: Sio wote but wachache.
Bintiye Askofu Tutu afunga pingu za maisha na mwanamke - HABARI ...
www.swahilihub.com › view › kgrivgz




mzazi kuwa makini katika malezi ya mwanao
 
Back
Top Bottom