Tofauti kati ya Mwanaume na Mwanamke, maandamano version

Tofauti kati ya Mwanaume na Mwanamke, maandamano version

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,684
UTOFAUTI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME••••

1. Kwenye mshituko; Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua

2. Kwenye kupenda; Mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendae

3.Kwenye kusaidia; Mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika

4.Kwenye maamuzi; Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri

5.Kwenye kudanganya; Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume

6.Kwenye ugomvi; Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, kexho tena

7.Kwenye ndoa; Mwanaume hutafuta maixha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maisha

8.Kwenye kukata tamaa; Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe

9.Kwenye kula; Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu hakushiba

10.Kwenye siri; Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana nae baada ya kumrudia mwenyewe kwa siku 2 tu
Hizi ni baadhi tu ya sifa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke.....
VIVA GENTLEMEN[/b][/b][/b][/b][/b]
 
Huu pia ni utafiti au maoni binafsi ndugu bujibuji?
 
Umesahau kimoja,,mwanaume humaanisha ving anavyoongea,ila mwanamke huaongea vingi na kumaanisha vichache
 
Mwanaume anamuacha msichana mwenye elimu,kaz na tabia njema kisa mwanamke mwenye chura
Mwanamke hushikamana na mwanaume mwenye elimu,kaz na tabia nzur

Apo ndio utakapoelewa iv sis wanaume huwa tunafikilia kwa kutumia nn hasa!!!
 
lost I'd ana kujibu kiufasaha

Wanawake hua mna classses, yani akili ya mwanamke ina classes, akishakua na level flani hivi ya maisha basi hujiweka kwenye hiyo level.
Inapokuja swala la mwanamke, mwanaume hana class, awe beki tatu, awe waziri au rais wote ni wanawake, kinachowafanya kua hvyo sio vyeo vyenu bali ni kyuma.
Mwanaume hana class kwenye kyuma, kyuma zote ziko sawa. Ndio maana anaweza kua na mwanamke mzuri na mwenye hadhi kubwa ila akatafuna beki tatu ambae hana mbele wala nyuma.
Mshedede ukiamka hua hauangalii hii kyuma ni ya nani, iwe ya beki tatu au yoyote kikubwa iwe kyuma tu.
Nachojua beki tatu wengi bado wanakua wabichi, bado wana ladha fresh, bado misuli yao ya uke iko tight na mnato.
Sababu kubwa nyingone ni mahubiri ya Nabii wa Mwisho na Nabii wa kweli Nabii Tito.
 
Katika macho ya kishabiki kuna watakaobeza yaliyotokea jana na leo
Ila katika macho ya information interpretation kilichotokea ni hatari zaidi
Kushindwa kufanya kazi Kwa Mifumo ya kufikisha malaamiko serikalini Ndani ya ccm na Upinzani, media na hata NGO’s ni jambo la hatari hizi ndio formal democratic foundations and channels
Tumaini la mwisho lilikua la mass kufikisha malalamko kama hili limeshindikana Sasa tujiandaee Kwa matukio yasio ya kawaida wala ya kisiasa
Wale ambao wana uwezo Mkubwa wa kubadili mambo ila sio Wanasiasa walikua na Matumaini mambo yatabafilika kupitia njia rasmi kwakua ineshindikana basi njia watakayochagua ni hatari zaidi ..wengi wa watu kama hao ni hatari zaidi
Tusikebehi kwakua njia inayokuja ni hatari zaidi na ya gharama Sana kukabikiana nayo hata dalili Zimeanza kuonekana

Tuombe Mungu
 
Hio njia inayokuja lazima iondoke na mtu.
 
Back
Top Bottom