Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani samahanini! Mods naomba mnisaidie hapa. Wadada ambao huwa wanatafuta makalio makubwa huwa wanataka wamkalie nani na wapi na kwa misingi ipi? Huwa mm sielewi.
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Zaidi ya asilimia 90 ya Watoto wa kike wanaopata mimba wakiwa na umri mdogo huwa hawaishii kuishi/kuolewa na Waliowapa hizo mimba. Wakati kijana Mwenzake wa kiume anaendelea na maisha yake kama...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Samahani napenda kutoa Tahadhali kwa wale wenye kuhisi wananipenda! Nawashauri wasinipende Kimapenzi wanipende kawaida kama YESU na shetani Kupenda huku Vepe?! Kutaka kuwa kwenye mahusiano ya...
3 Reactions
98 Replies
8K Views
Kuna hii mada hapa chini niliandika kuhusu mimba iliyotokea bila kuipanga na binti akakataa kuitoa . Nikikataa hii mimba nitakua na kosa? Nashukuru sasa mimba imetoka yenyewe, nadhani ni kutokana...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Awali kabla ya yote, "mume mtarajiwa", Namaanisha mwanaume au kijana tayari kwa kuoa. Ila haya niyatoayo ni maoni yangu binafsi, nakuruhusu kuyazingatia au usiyanzingatie SAWA, 1. USIMWAMBIE...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
kipindi flani huko nyuma nilitangaza kuwa sasa nimeamua kuacha kuruka ruka mitaro nataka nivute jiko. niliwaambia demu mwenyewe nimempata humu humu ndani. mi najua popote pale unaweza pata mke si...
12 Reactions
87 Replies
50K Views
Natafuta mke Wa kuishi nae awe tayari kuanzia chini na kuhangaika pamoja ktk utafutaji. Awe mcha Mungu sibagui dini Mimi Nina kipato cha kadiri hatuwezi lala njaa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu kama kishwa tajwa hapi juu, Kuna baadhi ya hawa viumbe (ke) wanachothamini ni pesa tu basi hapo atakupetipeti ila siku ukimwambia hauna utaona wazi ananuna na kusonya utadhani wewe ni BOT...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Pambazuko fm‏ @pambazukofm Apr 5 BUNGENI: Naibu waziri wa afya, @DocFaustine amesema watu wanaoenda kupima vinasaba(DNA) wanakuwa tayari wana wasiwasi ndio maana watoto wanne kati ya sita sio wa...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
Habari za mda huu marafiki zangu. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Nina rafiki yangu nipo nae fb kaamua kuniweka wazi kwamba anataka mume wa kufunga nae ndoa. Sifa zake sio ngumu ila...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
#Habari24UPDATES, Mbunge wa Kavuu (CCM), Dk Pudenciana Kiwembe ameeleza malalamiko yake kuhusu ukaguzi wanapoingia bungeni. Amesema, ukaguzi wa kupitisha mikono kwenye mwili unaweza kupelekea...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hello! Madada zangu ambao huwa mna aina zenu za wanaume ambao mnataka kuwa nao.. Utaona bidada anataka mwanaume ambae 1. Yupo focused 2. Ana mipango ya maisha 3. Mwenye hofu na Mungu 4. Handsome...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
HII Baada ya aliyekuwa Bwana Harusi mtarajiwa, Omary Hamisi, mkazi wa Buguruni jijini Dar, kupigwa changa la macho na Bi Harusi mtarajiwa wake, Aisha Muhammed na kujikuta akibaki na Shehe na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Asalamu wanajamvi humu. Kama kichwa kinavyojieleza nimeamua kuurudia u playboy kwa mabinti maana nimeona kujifanya unapenda mtu ni donda la moyo. Nina mpenzi wangu nipo nae kama huu sasa ni...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
Kiukweli sipingi imani ya mtu ila imani ukimuingilia mwenzako ni kosa.. Humu jukwaa ni jukwaa la mapenzi, mahaba na makila kitu ya mahusiano. Lakini sasa imetokea mtu kapost jukwaa sahihi...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
Wanaume tumejisahau kama....: 1.Mwanamke ni pambo au ua ambalo muda wote linahitaji uangalizi na maji ili lichanue na kustawi. 2.Mwanamke anahitaji kubembelezwa/kudekezwa vijana wanaita kupet...
3 Reactions
117 Replies
7K Views
Magufuri tunaomba ongeza kidogo kubana utusaidie huku maana kwa sasa wadada wote hawanuni na ukimuita anageuka haraka kama rimoti inavyozima tivi naona sasa heshima ya wanaume imeludi
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hello Ikiwa tumebakiza masaa kumaliza mwaka lets share ni kitu gan kilichokutokea 2017 ambacho hutokuja kukisahau kamwe..my side ni mengi yame happen but kubwa kubwa kuunguliwa na vitu vyangu kwa...
8 Reactions
89 Replies
9K Views
Kazi zimekuwa ngumu sana na mitaji ni migumu sana hasa kwa vijana ambao hawana historia ya kuwa na familia zilizopitia 'system' za hapa Tanzania. Vijana wanafutukuta sana lakini wapi. Wanashinda...
3 Reactions
60 Replies
6K Views
Huyu rafiki ulisoma nae A level, wakati huo nyumbani mlikutana mnapitia tough life na huyu rafiki alikuchukua kama ndugu yake. Chochote alicholetewa na wazazi wake alikushirikisha. Ulipata...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…