Inawahusu wale walioko kwenye mahusiano

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Brother

Hata mwanamke ulienae ni mzuri kuliko unaemtamani...kuliko yule unaemuona kapendeza huko ofisini au barabarani ..jaribu kwanza kumpenda huyu ulie nae, na kumpa upendo wako, huku ukiendelea kumpendezesha zaidi ya yule unae muona barabarani na kumtamani.. Trust me ukifanya hayo mambo atapendeza kuliko huyu unaemtamani....atanawiri vizuri, atatakata vizuri, na hata ukimtazama utajilaumu kwanini hukuligundua hilo mapema...

[HASHTAG]#Hakuna[/HASHTAG] mwanamke asievutia..... mawazo, maisha ndiyo yanawafanya waonekane kuchoka ...mpe upendo, mfanye apendeze then mtazame utaona mabadiliko.. Utaona alivyo mrembo kuliko hao unaowatamani huko njiani.
 
Hapa ndo linapokuja swala la commitment kwenye mahusiano...

There will always be a girl ambae ni prettier, sexier, brighter etc than mwanamke ulienae. That is just a fact of life.

So badala ya kuchase kila mwanamke ambae unamuona ni mrembo, mtanashati au ana shape kuliko msichana ulienae... As long as uko committed, all you have to do ni kufocus kwa mwanamke wako and help her be the best she can be.
 
Back
Top Bottom