Baadhi ya wanaume ni wachafu sana, wanalala na kahaba anayetembea na wanaume wengi

kritika

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
410
1,152
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga.

Hivi hata ashki za kulala na kahaba mnazitoa wapi?
Kwanini mnakua wachafu kiasi hicho tena utakuta una mke na watoto nyumbani.
 
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga,

Hivi hata ashki za kulala na kahaba mnazitoa wapi?
Kwanini mnakua wachafu kiasi hicho tena utakuta unamke na watoto nyumbani

Men are from Planet Mars, baby girl!
 
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga,

Hivi hata ashki za kulala na kahaba mnazitoa wapi?
Kwanini mnakua wachafu kiasi hicho tena utakuta unamke na watoto nyumbani
Unakuta wote hawajaoga kwa hiyo sio wanaume wachafu bali wote ni wachafu so hakuna cha ajabu sana ndo hali ilivo kisafi lazima kijitenge kichafu kitajitangaza
 
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga,

Hivi hata ashki za kulala na kahaba mnazitoa wapi?
Kwanini mnakua wachafu kiasi hicho tena utakuta unamke na watoto nyumbani

Rekebisha kauli yako Madame,sema baadhi ya wanaume na ututake radhi wengine.
 
Sidhan km huo ni uchafu zaid ya kumuingilia kichaa anaekaa majalalani!unashangaa kichaa kila siku ana mimba na mitaa hiyo hamna kichaa wa kiume!kwa haraka ni matoz ndo wanawajaza
 
Ila wanaume wachafu sana. Unajua kabisa mtu anajiuza na wewe unaenda kuosha rungu lako hapo hapo. Hivi hamuwazagi muda anakuja kukuwinda wewe ametoka kulalwa na mteja mwingine tena utakuta hata hajaoga,

Hivi hata ashki za kulala na kahaba mnazitoa wapi?
Kwanini mnakua wachafu kiasi hicho tena utakuta unamke na watoto nyumbani

Anayejiuza ni mwanaume?

Nani mchafu zaidi kati ya anayejiuza na anayenunua?
 
Back
Top Bottom