Wakati wa Mungu

Wakati wa Mungu

Madame S

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
17,179
Reaction score
34,529
Assalam alayqum wana Mmu, natumai mnaendelea vyema na mfungo na wengine na pilika zenu za kawaida kwa wale wagonjwa Allah atawaafu inshallah mtapata nafuu.

Nimekaa nikawaza kwamba nijaribu kushare kitu na nyie, hua sisi binadam tunapata tabu sana kujua yajayo au kutojishughulisha kuyajua yajayo, tunasahau kuna kitu kinaitwa "wakati wa Mungu". Wakati ambao unaona tu mambo yanakwenda unavyotaka au pengine ulivyowaza.

Tunakua kwenye mahusiano, tunaumia, tunafurahi, tunayalinda mahusiano hayo lakini kitakachokuja mbele hatukijui na inabaki ni majaliwa yake Mungu kuwafanya mdumu pamoja. Wakati mwengine mahusiano hayo hayawi vile tunataraji au tunataka iwe yote faham wakat wa Mungu haujafika kubali kama kuteseka usifosi kitu ambacho unaona hakifai.



Si tu kwenye mapenzi, hata maisha ya kawaida unakua unahangaika kutafta maisha bora, unatuma maombi sehem kibao lakini hakuna kunakofanikiwa, my dear tambua wakati wa Mungu haujafika

Sote tunaishi kwa kutegemea kadar za Allah ( kwa wale waimani yangu na mie) muhim tu usikate tamaa kadri unavyopambana ndio unavyopata njia zaidi ya kujinasua, muhim kutokata tamaa na kuomba kwa dhati huku tukiwa na imani kila kitu kitakaa sawa siku moja.

Nobody sees the stars during the day. But in the night, they are visible. God knows how to hide you till its your time to shine. Your invisibility doesn't mean you are not existing. It only means its not your time yet. Wait patiently, God's timing is always perfect. There's a day...called "ONE DAY" it shall be your turn, it is well.
 
Yeah cha muhimu ni kuwa na subira maishani, tamaa nayo sometimes inatutoa kwenye mstari
Umenena vyema, ukia na subra na ukamtumainia Mungu mambo yanakua, subra ndio ngao ya mwanadam hata ndio mana Mungu unamuomba hakup hapohapo unatakiwa uwe na subra "inna llah ma'a swabiryn," kwamba hakika wenye kusubiri wapo pamoja ma Mwenyezi Mungu
 
Umenena vyema, ukia na subra na ukamtumainia Mungu mambo yanakua, subra ndio ngao ya mwanadam hata ndio mana Mungu unamuomba hakup hapohapo unatakiwa uwe na subra "inna llah ma'a swabiryn," kwamba hakika wenye kusubiri wapo pamoja ma Mwenyezi Mungu
Mwanadamu hajakamilika ikiwa imani yake haijakamilika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom