Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Baada ya kusikia mwingine tena kapigwa na kitu kingine chenye ncha kali na kupoteza maisha, nilijikuta nikirudisha kumbukumbu zangu juu ya ngozi; ngozi za...
Natafuta mke wa kuweza kuwa mwenza wangu, kwa njia halali ya ndoa. Mimi ni Islam, umri wangu ni miaka 45, nina urefu wa futi 6, nina uzito wa kg 80, nipo kanda ya ziwa. Sifa za mke ninaye...
Wanaume wengi hua tunashindwa kukataa pale ambapo mwanamke anakuja mwenyewe kututongoza hii kitu hua ina majaribu sana, mimi binafsi ishanitokea mara mbili na zote nikaanguka kula tunda pendwa...
Habari wana MMU,
Wanaume wengi wanajua udhaifu mkubwa wa wanawake ni sifa, wanawake wengi wanapenda kusifiwa au sifa kwa ujumla.
Sasa wanaume wengi hutumia hiki kigezo wanajua unapenda kusifiwa...
Ni usiku sana kichwa changu kinawaka moto, huku moyo wangu ukivuja damu kwa maumivu.
Naomba mniwie radhi wana jukwaa kwani jambo hili lina mlolongo mrefu, naomba nieleze japo kwa kifupi ili iwe...
Watoto wengi huanza kuhisi uchafu kukaa na kinyesi au mikojo baada ya miezi 18. Hapa ukiweza weka potty sehemu wanayofikia kujisaidia. Kwa usiku subiri kidogo.
Mtoto wa miaka miwili anakuwa...
Amekua akiishi na hao wachumba wake wawili kwenye jumba la kifahali, ambapo wote wanapendana na kumpenda. Imeripotiwa kwamba huwapa hela nyingi wajiachie watakavyo na pia huwanunulia zawadi nyingi...
Nimemaliza chuo mwaka juzi UDSM. Naishi hapa hapa Dar kwasababu nature ya field yangu kampuni nyingi ziko hapa mjini. Sina hata zaidi ya miaka miwili kitaa, ndio kwanza najipanga na life...
Wana MMU ebu tupige kura ya maoni
Kutokana na malalamiko ya vijana wengi mitaani kwamba miaka hii mahari ni kubwa sana..........
JE UNAKUBALI MAHARI WANAZOLIPIWA DADA ZETU ZIFUTWE ILI KULETA...
Ni kweli umewahi sikia au kuona muulize mill8 atakwambia ukweli.
Jamani eeh! Habari za siku mbili tatu naamini mko poa maisha yana songa.
Sasa naanza na mada yenyewe ni hivi! Kuna kipindi...
Nimesikitika sana baada ya kugundua hili. Mama mkwe wangu tulikuwa karibu sana maskini. Haipiti siku mbili tatu atapiga kujua mimi na mwanaye tunaendeleaje na bahati nzuri ni mama mmoja wa dini...
Damu kundi “A”
Hawa watu maranyingi huwa mifano ya kuigwa na wengi kwasababu ya kiu zao na upiganaji wao kwenye mafanikio, ni watu wema,wapole na wenye tabia njema. Pamoja na hayo ni rahisi sana...
Ilikuwa mwaka 1995 wote tukiwa wanafunzi nilikutana na shost anaitwa Flora kutoka Nigeria. Flora alitoka Benin Estate nchini Nigeria. Watu wa state hii wana rangi kama ya wa watu wa Arusha. Mimi...
Kwenye hili jukwaa huu utakuwa ni uzi wangu wa 3 kama nitakuwa sijakosea.
Niende 1 kwa 1 kwenye mada. Linapokuja swali la mapenzi, Wazungu ni noma, hawa jamaa hawana wivu kabisa.
Kuna Mzungu m1...
Siku imeanza umeamka vizuri na kujiandaa kwenda kibaruani, on your way unasalimia majirani na wengine, huku nyuma uliyelala naye mke/mume hukuthubutu hata kumjulia hali na kujua ameamkaje, upendo...
Habari zenu wanajamii...?
Mimi kuna linalonisumbua sana na nina amini humu nitapata ushauri, naombeni sana sana mnishauri kistaarabu kwa wale mliozoea kuharibu na kutukana kwa muda huu mnivumilie...
Habari za majukumu wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, bila kupoteza mda ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Siku zilizopita nilikuja hapa kuweka mada yangu...
Habari za humu wana MMU.
Mimi binafsi sijawahi kutoa thread yoyote hapa MMU ila Leo nimeona nije mnipe ushauri.
Mimi ni ke nina mchumba wangu nimedumu naye almost a year ila siku za hivi...
Kwanza nianze na sifa zao kama ifuatavyo!
Wakipenda wanapenda kweli kweli.
Wana vijitabia vya ujuaji (sheria).
Wana penda ku-challenge sana hasa wakigundua wanapendwa.
Ni wepesi wa kulia na...