Shost Flora alivyopambana

Shost Flora alivyopambana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Ilikuwa mwaka 1995 wote tukiwa wanafunzi nilikutana na shost anaitwa Flora kutoka Nigeria. Flora alitoka Benin Estate nchini Nigeria. Watu wa state hii wana rangi kama ya wa watu wa Arusha. Mimi na Flora tuliishi nyumba moja. Flora alikuwa na uzuri wa asili.

Flora alisaidiwa kutoka nchini kwao kwa msaada wa mjomba. Hakuwahi kunieleza habari za baba yake lakini alinifahamisha tu kuwa mama yake na mdogo wake wa kiume wanamtegemea yeye. Ilibidi afanye kazi na kumpelekea mama yake hela ya pango nyumbani pamoja na mahitaji mengine. Flora alishindwa kuendelea na shule kutokana na majukumu.

Siku moja akiwa kituo cha train alikutana na kijana mmoja wa kizungu. Alimzidi Flora kama miaka mitano. Kijana alivutiwa sana na urembo wa Flora. Alianza maongezi mara train ya shost ilifika. Train ya mzungu ilikuwa nyuma kusubiri dakika 10, mzungu alijitosa na Flora aliimba mpaka alifanikiwa kupata contacts.

Baada ya pale mzungu alitutembeleana shost kunipa mkanda mzima. Mzungu alikuwa mwandishi wa habari na alimpenda shost mazima. Mipango ya Flora ilikuwa kwenda USA kujaribu maisha pale alishaona hali ngumu.

Alianza kumwambia mzungu kuwa mama yake ana cancer na matibabu ni private hospital Nigeria. Mzungu alidondosha cheque ya nguvu. Shost alilipia shule USA na kuanza mipango ya safari. Kulikuwa na pesa ya shopping na ukichanganya na pesa yake ya kazini Flora alifanikisha safari pasi kumuaga mzungu.

Kijana wa watu aliumia sana. Tusiumize wanaotuthamni.
 
unaonekana sio mwandishi mzuri stori zako huwa unaishia juu juu unashindwa ku conclude km pdidy..walimu wako walipata taabu sana kwenye essay zako kuunganisha mawazo na mnyumbuliko anuwai.
 
unaonekana sio mwandishi mzuri stori zako huwa unaishia juu juu unashindwa ku conclude km pdidy..walimu wako walipata tabu sana kwenye essay zako kuunganisha mawazo na mnyumbuliko anuwai.
hua inaniwia vigum mno kuelewa mada zake
 
Ilikuwa mwaka 1995 wote tukiwa wanafunzi nilikutana na shost anaitwa Flora kutoka Nigeria. Flora alitoka Benin Estate nchini Nigeria. Watu wa state hii wana rangi kama ya wa watu wa Arusha. Mimi na Flora tuliishi nyumba moja. Flora alikuwa na uzuri wa asili.

Flora alisaidiwa kutoka nchini kwao kwa msaada wa mjomba. Hakuwahi kunieleza habari za baba yake lakini alinifahamisha tu kuwa mama yake na mdogo wake wa kiume wanamtegemea yeye. Ilibidi afanye kazi na kumpelekea mama yake hela ya pango nyumbani pamoja na mahitaji mengine. Flora alishindwa kuendelea na shule kutokana na majukumu.

Siku moja akiwa kituo cha train alikutana na kijana mmoja wa kizungu. Alimzidi Flora kama miaka mitano. Kijana alivutiwa sana na urembo wa Flora. Alianza maongezi mara train ya shost ilifika. Train ya mzungu ilikuwa nyuma kusubiri dakika 10, mzungu alijitosa na Flora aliimba mpaka alifanikiwa kupata contacts.

Baada ya pale mzungu alitutembeleana shost kunipa mkanda mzima. Mzungu alikuwa mwandishi wa habari na alimpenda shost mazima. Mipango ya Flora ilikuwa kwenda USA kujaribu maisha pale alishaona hali ngumu.

Alianza kumwambia mzungu kuwa mama yake ana cancer na matibabu ni private hospital Nigeria. Mzungu alidondosha cheque ya nguvu. Shost alilipia shule USA na kuanza mipango ya safari. Kulikuwa na pesa ya shopping na ukichanganya na pesa yake ya kazini Flora alifanikisha safari pasi kumuaga mzungu.

Kijana wa watu aliumia sana. Tusiumize wanaotuthamni.

Lakini flora aliliwa na mzungu si ndio?
 
Kijana wa watu aliumia sana. Tusiumize wanaotuthamni.

Una style ya uandishi ambayo inamfanya hadhira pia ashirikishe akili yake kuweka hitimisho analolihitaji.

Story hii mimi ninaweza kuimalizia kama ifuatavyo:-
  1. Ogopa Nigerians (awe ke au me);
  2. Mali ya mzungu siyo ya kuionea huruma;
  3. Flora atapata kisanga kitachompa fundisho, karma's avenge; na
  4. The end justifies the means.
You are the best at what you do, keep on the same flow.

Regards,
The Last Don.
 
Thank you
 
Ilikuwa mwaka 1995 wote tukiwa wanafunzi nilikutana na shost anaitwa Flora kutoka Nigeria. Flora alitoka Benin Estate nchini Nigeria. Watu wa state hii wana rangi kama ya wa watu wa Arusha. Mimi na Flora tuliishi nyumba moja. Flora alikuwa na uzuri wa asili.

Flora alisaidiwa kutoka nchini kwao kwa msaada wa mjomba. Hakuwahi kunieleza habari za baba yake lakini alinifahamisha tu kuwa mama yake na mdogo wake wa kiume wanamtegemea yeye. Ilibidi afanye kazi na kumpelekea mama yake hela ya pango nyumbani pamoja na mahitaji mengine. Flora alishindwa kuendelea na shule kutokana na majukumu.

Siku moja akiwa kituo cha train alikutana na kijana mmoja wa kizungu. Alimzidi Flora kama miaka mitano. Kijana alivutiwa sana na urembo wa Flora. Alianza maongezi mara train ya shost ilifika. Train ya mzungu ilikuwa nyuma kusubiri dakika 10, mzungu alijitosa na Flora aliimba mpaka alifanikiwa kupata contacts.

Baada ya pale mzungu alitutembeleana shost kunipa mkanda mzima. Mzungu alikuwa mwandishi wa habari na alimpenda shost mazima. Mipango ya Flora ilikuwa kwenda USA kujaribu maisha pale alishaona hali ngumu.

Alianza kumwambia mzungu kuwa mama yake ana cancer na matibabu ni private hospital Nigeria. Mzungu alidondosha cheque ya nguvu. Shost alilipia shule USA na kuanza mipango ya safari. Kulikuwa na pesa ya shopping na ukichanganya na pesa yake ya kazini Flora alifanikisha safari pasi kumuaga mzungu.

Kijana wa watu aliumia sana. Tusiumize wanaotuthamni.
exactly usicheze na hisia za MTU unaweza sababisha matatizo makubwa... .
 
Back
Top Bottom