Toa maoni yako: Je mahari ifutwe?

Toa maoni yako: Je mahari ifutwe?

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,618
Reaction score
18,557
Wana MMU ebu tupige kura ya maoni

Kutokana na malalamiko ya vijana wengi mitaani kwamba miaka hii mahari ni kubwa sana..........

JE UNAKUBALI MAHARI WANAZOLIPIWA DADA ZETU ZIFUTWE ILI KULETA CHACHU YA VIJANA KUCHUMBIA ?......

Wanaokubali waandike NDIYO
Wasiokubali waandike HAPANA

NB: Toa sababu ya jibu lako tafadhali...
 
Mahari kabisaaa ifutweeeee???
Ili mtuchukue kama mizigo ya kuni sasa?mmh..!
Nadhani la muhimu ni kuelewana na mwenzako vizur ajue hali yako tu
Wanawake pia tunapaswa kushirikiana na wenzetu katik hili maana baadhi ya wazazi ndio hushinikiza saana mahari kuwa kubwa bila kujua mtoto wao ataenda kula nn huko aendapo
 
Kiislam mahar ni sadaka tu na haikusemwa kiasi.
Vip leo sie tena wazazi tu wanasema badala ya mhusika kusema?
Why mahar kubwa! Ni kama vile mtu unanunuliwa asa si kama biashara ya utumwa tu hiyo?
 
Kiislam mahar ni sadaka tu na haikusemwa kiasi.
Vip leo sie tena wazazi tu wanasema badala ya mhusika kusema?
Why mahar kubwa! Ni kama vile mtu unanunuliwa asa si kama biashara ya utumwa tu hiyo?
Kwenye Bible mahari zinatolewa, kuna mtu alifanya kazi miaka saba ili apewe mke.
Kwa baadhi ya makabila wazee walikuwa wanatoa ng'ombe wa kutosha ambao thamani yake ni sawa na pesa ya mahari ya saiv
 
Kwenye Bible mahari zinatolewa, kuna mtu alifanya kazi miaka saba ili apewe mke.
Kwa baadhi ya makabila wazee walikuwa wanatoa ng'ombe wa kutosha ambao thamani yake ni sawa na pesa ya mahari ya saiv
Rudia kusoma acha mihemko.
Ni wap ktk uislam pamesemwa baba/mama ndo ataje kiasi cha mahari?
 
Mahari isifutwe lazma MTU ugharamie mke bhana ila zicwe za kuumizana mahari mil5. na laki 9 mwee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana ila walipe wanawake sasa kama ilivyo kule India,maana hata kuwaacha itakuwa ngumu mpaka waamue wao wenyewe......
 
Mahari ni chanzo cha mfumo dume.
Kitendo cha mimi kulipa ili nipate mke tafsiri yake nanaenda kutumia nilichokinunua.
Sasa unaambiwa utoe mahari kwa sababu wao wamehangaika kumlea utafikir mimi nimejilea mwenyewe.
Haki sawa (usawa) wa Me na Ke( Gender eguality) hautatokea kama Mahari zitaendelea kuwepo.
 
Mimi naona zisifutwe,ila sisi tuwalipie maana mnapenda sana mteremko nyie,
 
Kiislam mahar ni sadaka tu na haikusemwa kiasi.
Vip leo sie tena wazazi tu wanasema badala ya mhusika kusema?
Why mahar kubwa! Ni kama vile mtu unanunuliwa asa si kama biashara ya utumwa tu hiyo?

Wapi katika Uislam pamesemwa mahari ni sadaka tu....thibitisha hili kwanza
 
Back
Top Bottom