Umri wa mtoto kuanza kutumia choo

Umri wa mtoto kuanza kutumia choo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Watoto wengi huanza kuhisi uchafu kukaa na kinyesi au mikojo baada ya miezi 18. Hapa ukiweza weka potty sehemu wanayofikia kujisaidia. Kwa usiku subiri kidogo.

Mtoto wa miaka miwili anakuwa ameshazoea potty na hata kukujulisha kwa maneno nini anataka kufanya.

Miaka mitatu anaanza kutumia choo. Tena na kujinawisha mwenyewe. Unamkumbusha tu kunawa mikono.
 
Sigmund Freud amejibu hili swali nahisi ni steji ya tatu ya ukuaji ndiyo mtoto ataanza kupata raha kwa kuweza kucontrol bowel movement hapo ni katika miaka mitatu hivi.

Anyway ya darasani yabaki darasani
Miaka mitatu anakuwa na control ya usiku na hata hivyo miaka miwili tegemea ajali nyingi tu za kusahau au kuzidiwa na michezo mpaka mikojo inatoka
 
Kuna jirani hapa toto wake mkubwa bado anatumia potty mpaka analivunja tunamshauri aanze kumpeleka chooni weeeh!!

Cc Smart911

Cc Smart911
Shule nyingine hawachuikui mtoto nursery miaka 3+ kama hajafundishwa kutumia choo. Ile wiki ya kwanza kama mama ni mfanya kazi ni kheri achukue likizo ya wiki moja ashinde nyumbani na mtoto
 
Watoto wengi huanza kuhisi uchafu kukaa na kinyesi au mikojo baada ya miezi 18. Hapa ukiweza weka potty sehemu wanayofikia kujisaidia. Kwa usiku subiri kidogo.

Mtoto wa miaka miwili anakuwa ameshazoea potty na hata kukujulisha kwa maneno nini anataka kufanya.

Miaka mitatu anaanza kutumia choo. Tena na kujinawisha mwenyewe. Unamkumbusha tu kunawa mikono.

> 90% ya Watoto wa Tanzania hawajui poti, wengi wetu poti letu ilikuwa ni miguu ya mama zetu!
 
Kuna kitoto kina miaka minne kasoro hadi sasa kanajaza nya kwenye pensi...ukikachapa Baba ake anasema bado mtoto huyo...kananiboaga kudadeki!!
 
Miezi nane sasa anapupu kwenye poti tu.akianza kujikamua poti inamuhusu alianza na miezi mitano hadi ameshazoea akiona tu poti anakojoa kama hana pupu.my baby my sugar nakupenda mpaka naumwa kuandika hapa .baby nt love uuuu mwaaa mamy is coming!
 
U

Ilianzishwa ku time muda wake wa pupu ndiyo ukase unamuweka kwenye potty?
 
Back
Top Bottom