Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume wote Mungu awabariki sana, maana mna mioyo ya kipekee sana kwenye mahusiano; Nilishasimuliwa na nikaona kwa macho yangu mwenyewe, vijana wanawapenda wapenzi wao mpaka kufikia hatua ya...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Wakuu kwema?? Mm ni kijana wa kiume(26),na ni muhitimu wa shahada ya kwanza mwaka jana. Nimekuja mbele yenu kuomba mawazo yenu juu ya uhusiano wangu mm na mchumba wangu ambaye sasa tunaelekea...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Kisha Mungu akasema natumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa mfano wa Mungu Adamu akaumbwa. Mungu hakuumba watu hapana bali aliumba mtu. Baada ya Adamu kuumbwa na kupuliziwa pumzi ya uhai alikabidhiwa...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii ni kweli kabisa bila kujalisha ni nguvu za aina gani kuna wengine wana nguvu za kiume, wengine wana nguvu za kuongea. Wengine wana nguvu za kiutajiri, wengine nguvu zao ni za kiumasikini...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwanamke huyo alisema mmewe kamzoesha ila ilifika kipindi jamaa akagoma kuzama tena uvinza ndipo mwanamke huyo akahamua kummalizia Mbali ====== Bizarre!!! Woman Kills Husband Because He Stopped...
6 Reactions
456 Replies
28K Views
Mwaka 2013 nakumbuka ilikuwa ni mwezi wa 6 nilipofika Tabora nikitokea Tanga ambako nilikaa kwa miaka miwili, nilipofika Tabora nikatokea kumpenda sana msichana mmoja aitwae Suzy wa Tabora. Japo...
16 Reactions
98 Replies
7K Views
Yes... you lied to me.... And I can't go on. Byee byeee... Kasie Me.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Baada ya Mungu kumuumba Adamu na kumkabidhi bustani ili aitunze,upweke wa Adamu kwa kuwa peke yake ndio ulimfanya Mungu afikie uamuzi wa kumuumba Hawa kutoka katika mwili wa Adamu. Lengo kuu la...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Kuna binti tumeachana baada ya kugundua anatembea na rafiki yangu lakini ananipost fb akiandika zilipendwa na anaendelea kunitafuta kwenye simu. Haishi kunitakia maisha mema na sasa nimeoa nina...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Unaambiwa Nke wa NTU sumu Angalia alichofanyiwa Jamaa kuepuka fumanizi.
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Nakumbuka nilishawahi lete mada inayohusiana na hili ninaloandika nimeishi na mwanamke takribani miaka kama 4 hivi, tumebarikiwa kuwa na mtoto mmoja wa kike. Miaka yote hiyo hatujabahatika kufunga...
7 Reactions
244 Replies
21K Views
Nakumbuka zamani(miaka michache tu iliyo pita) sikuwa mkubwa sana na wala sikuwa mdogo sana, kuna msichana alikuja kwetu , kipindi hicho nilikiwa nakaa mkoani, basi yeye alitoka Dar, na alikuwa...
7 Reactions
72 Replies
7K Views
Bila shaka mtakubaliana nami,siku hizi utani na shemeji umeenda unapungua ukilinganisha na miaka 7 iliyopita,ilikuwa mpaka unamwita shemeji 'wife' au 'husband' na haikuathiri kitu.Kwa hali ya sasa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimemiss kupenda jamani mwenzenu natamani nimpate mwanamke wa kumpenda. nimpende kwa moyo wangu wote nimdekeze nimwite mama. Jamani hakuna raha kama kupata mtu unayempenda kwa dhatiii yaani hata...
7 Reactions
127 Replies
10K Views
Ongezeko kubwa la idadi ya wanaume nchini China limewafanya wengi wao kuwa kwenye wakati mgumu linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi. Kufika mwaka juzi, kulikuwa na zaidi ya wanaume milioni...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Natumai mna wakati mwema wapendwa! Mimi ni binti mwenye miaka 25, ninaishi na VVU. Nimechoka na hali ya upweke nahitaji mwenza wa kuishi nae as a husband and wife kwani naamini kuwa na VVU...
11 Reactions
33 Replies
4K Views
Huyu jirani yangu ni mwanaume wa 37, hajaoa na ni mfanya biashara. Katika hao wake watarajiwa kuna banker, daktari na mfanya biashara mwenye grocery kama tatu mjini hapa. Hawa wanawake hawajuani...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume na nina mchumba aliyelelewa na jamaa za mama yake baada ya wazazi wake kutengana, rafiki yangu ameniambia wasichana wa familia hiyo hawadumu katika ndoa zao. Wanaamini wanaweza...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Baadhi ya wanaume wanawasifia sana wanawake wenye ndevu. Inasemakana wanautofauti mkubwa sana hasa kwenye mapenzi na mafanikio kimaisha. Binafsi sijawahi kulidhibitisha hili. Wadau wa MMU...
5 Reactions
227 Replies
37K Views
Haya huu ndo ukweli kuhusu mwanamke wanaume sioni kasoro. 1.Yani huwa nashindwa kuelewa kwanini huwa wana chelewa 2.Ukienda nae kufanya shopping ya nguo kama ni saa 2 ndo mme toka basi kurudi...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…