Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Nimemiss kupenda jamani mwenzenu natamani nimpate mwanamke wa kumpenda. nimpende kwa moyo wangu wote nimdekeze nimwite mama.
Jamani hakuna raha kama kupata mtu unayempenda kwa dhatiii yaani hata ukimshika mkono mwanamke mwingine roho inanisuta kua namfanyia vibaya mpenzi wangu.
Natamani nimpate wangu tuwe tunakuaa pamoja kama kumbikumbi.
Nimeweka ahadi sita sex na mtu, sita kiss,sita hug na mwanamke yoyote tofauti na mwanamke nitakae mpenda kwa dhati toka moyoni.
Kwakwel atakua mwanamke special kwenye hii dunia.
Nitamuheshimu,nitampenda sana,nitamtunza,nitamjali.
Nakusubir kwa hamu Chaguo langu la moyo