Kusudi la Mungu kumuumba mwanamke Hawa ni kuwa faraja ya Adamu ila Hawa wa siku hizi ni mateso tu kwetu

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,640
4,426
Baada ya Mungu kumuumba Adamu na kumkabidhi bustani ili aitunze,upweke wa Adamu kwa kuwa peke yake ndio ulimfanya Mungu afikie uamuzi wa kumuumba Hawa kutoka katika mwili wa Adamu.

Lengo kuu la Mungu kumfanya Hawa kutoka katika mwili wa Adamu ni kumfanya Hawa awe faraja kwa Adamu lakini baada tu ya kufanyika kwa Hawa mambo yakawa tofauti na matarajio ya Mungu,kwani akina Hawa siku hizi wamebadilika na kuwa wanyama,imefikia hatua hata wamesahau na hawana kumbukumbu kuwa walitoka katika ubavu wa Adamu.

Popote utakapomkuta mwanaume analia au hali yake mbaya basi ukiulizia chanzo kikuu ni mwanamke.Wanawake wamekuwa ni binadamu wasiofikiria kuhusu jana na kesho,bali wao wamekuwa wakitazama zaidi leo kuna mifano mingi sana ya kujifunza kuhusu wanawake.

Lakini mfano mkubwa kuliko yote niliyojifunza mimi ni kupitia kaka yangu kipenzi Emmuel Eboue aliyekuwa mchezaji wa Arsenal ambae kupitia yeye nimepata kujifunza jambo kuhusu wanawake.Emmanuel Eboue alikuwa ni mchezaji tajiri tena mwenye maisha mazuri hata baada ya kustaafu soka.

Lakini kupitia mwanamke Emmanuel Eboue ilifikia hatua mpaka akawa analala sakafuni tena kwa rafiki yake,mtu aliyekuwa na pesa,majumba na magari ikafikia hatua mpaka akakosa pesa ya kununua jamvi kwa sababu ya mwanamke!!!!!Ewe mwanaume mwenzangu ukiwa unashindwa kusalimia watu kwa sababu ya uzuri wa mkeo,ikiwa unawaona ni wambeya na wanafiki watu kwa sababu unahisi wanaingilia maisha yako na mkeo.

Basi lazima ukumbuke kuwa hakuna mwanaume ambae hatapitia katika hali ile ya Emmanuel Eboue,na ujiulize je siku yakikufika hayo ni nani atakusaidia na wale lafiki zako uliwaita wanafiki kipindi mapenzi yamenoga?Mwanaume ana vichwa viwili hapa ndipo yafaa ujiulize je hata utayafikiria kupitia kichwa gani#be care itazame kesho yako.
 
Kuna baadhi ya mambo yapo vice versa. Namaanisha hivi kama mwanaume ana dushee basi mwanamke ana papuchi. Vivyo hivyo kama Mwanaume ni mtu mwenye Akili nyingi (upeo mkubwa wa kufikiria) basi mwanamke Akili hamna sio kwamba hawana kabisa ni thinking capacity ni ndogo ukilinganisha na mwanaume.

Notice: Mungu ndie aliewaumba kuwa blame ni sawa na kusema God was made a mistake.
 
Kuna baadhi ya mambo yapo vice versa. Namaanisha hivi kama mwanaume ana dushee basi mwanamke ana papuchi. Vivyo hivyo kama Mwanaume ni mtu mwenye Akili nyingi (upeo mkubwa wa kufikiria) basi mwanamke Akili hamna sio kwamba hawana kabisa ni thinking capacity ni ndogo ukilinganisha na mwanaume.

Notice: Mungu ndie aliewaumba kuwa blame ni sawa na kusema God was made a mistake.
Ni kweli kabisa ila tatizo lao ni wabishi awataki kukubali Mungu kawatoa kwenye ubavu wetu wao ni kubishana na sisi tu
 
Back
Top Bottom