Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Huyu jirani yangu ni mwanaume wa 37, hajaoa na ni mfanya biashara. Katika hao wake watarajiwa kuna banker, daktari na mfanya biashara mwenye grocery kama tatu mjini hapa.
Hawa wanawake hawajuani na kila mtu anajiona ni the right candidate. Mkaka ananiambia hatoki na mwanamke asiye na faida kwake. Anasema yeye akinunua handbag ya designer kama zawadi kwa mwanamke ameshajua pesa yake itarudi vipi.
Dunia simama nishuke.