kese
Member
- Jun 4, 2015
- 39
- 19
Kuna binti tumeachana baada ya kugundua anatembea na rafiki yangu lakini ananipost fb akiandika zilipendwa na anaendelea kunitafuta kwenye simu.
Haishi kunitakia maisha mema na sasa nimeoa nina mke na mtoto mmoja bado anadai eti mimi ni kama ndugu yake wa karibu nisiende mbali nae.
Kwa sasa nina miaka 30 yeye anamiaka 28 sasa sijui ana tatizo gani maana na mke wangu ameanza kunihisi vibaya juu yake.
Nashindwa kubadili namba ya simu maana naitumia kazini.