Kila mwanaume ana nguvu zake

Kila mwanaume ana nguvu zake

MILL8

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,836
Reaction score
881
Hii ni kweli kabisa bila kujalisha ni nguvu za aina gani kuna wengine wana nguvu za kiume, wengine wana nguvu za kuongea.

Wengine wana nguvu za kiutajiri, wengine nguvu zao ni za kiumasikini, hali kadhalika wengine wana nguvu za kuzaa.

Usishangae na usiulizeulize mbona fulani ana watoto 90 au Bill gate kwanini nitajiri zaidi yangu, kila mmoja ana nguvu yake inayomfanya awe wa kipekee.

Itambue na uchuke hatua bila shaka utaona mabadiliko.


"Nawasilisha"
 
sijazijua bado
sasa kama bado haujazijua " umewazaje kujua kuwa kila mtu na nguvu zake "" wakati wewe mwenyew kujifanyia utafiti ili uzijue zako umeshindwa
 
Muda si mrefu nategemea kushika Mimba mkuu we yako Lini? niko nje ya mada sijui
 
Nimegundua wanaume wa Kasie wana nguvu za kuhakikisha wanapambana ili kila mmoja abaki peke yake na Kasie wengine wote wakate tamaa.

Mgegedo huwa nawapa nnapotaka mie hivo hapo nguvu zao hawawezi zipimia kwangu.
 
Back
Top Bottom