Habarini za asubuhi wapendwa
Hivi nyie wanaume wa sasa mbona mwajidhalilisha hvi jamani,hiv mwanaume mzima unaoa mke tena wa ndoa takatifu kabisaa...unaishi nae,anawezaje kurudi saa saba usiku au...
Nina girlfriend wangu ambae tumedumu kwa muda wa miezi nane kwenye mahusiano na mpaka leo bado tupo pamoja.Mara nyingi huyu mpenzi wangu kabla hatujakutana kimwili huwa kuna vidonge anatumia...
Hebu tia neno hapa mkuu,
Mkeo/Mumeo alitoka nje ya ndoa kweli lakini unagundua lengo kuu lilikuwa ni
kukusaidia wewe aidha Kimatibabu, kukutoa gerezani, Mahabusu, Kukulipia
Gharama za masomo na...
Ni tukio lililotokea muda huu hapa mtaani kwangu
Mwanaume alikuwa amesafiri,karudi usiku huu kwake bahati mbaya kabla ya kubisha hodi,akakuta dirisha la chumbani kwake lipo wazi
Akaenda pale...
Wakuu
kiukweli hii hali imepanda ghafla na imekuwa common yaani kila simu ukipokea ya kuombwa pesa mara nyingi kutoka kwa wanawake na wanaume wachache hakika hujipangia kiwango na huitaji...
Habari wana jf husika na kichwa cha habari naenda direct to de point kuna demu nilimfukuzua kama mwezi na nusu hivi sasa baada ya kumpata kama ilivyo ada zombie hashibi damu kuna siku nikaomba...
Nimempatia mtaani kwetu sio Jf...ana miaka 23yrs....maelezo mengi nimepunguza maana watu wasiojielewa wameanza kunitukana na kunipa majungu kisa tu nimebahatika kuwa na demu bikra....muandamne bac...
Habari wana jamvi.
Kuna manzi amenihangaisha na kunisumbua siku nyingi sana. Leo katika pita pita zangu nikamfuma maeneo flani ivi tukapiga story na mwisho alikubali nimgegede. Tukatoka hadi gesti...
Kifupi huwa sipendi kuzungumzia tetesi ama maisha ya watu directly. Lakini kwa hili, kwa leo naomba mnisamehe kwa haya nilitakayoyasema.
Leo hapa mtaani kwetu majira ya jioni kumetokea timbwili...
Habari wana JF,
Sehemu nyingi za mazoezi Dsm unakuta mwalimu wa mazoezi ni mwanaume then anamshikashika mwanafunzi wa kike (mke wa mtu) katika mchakato wa kufundishana kufanya mazoezi kitu...
I bet you know that I missed you already....
I don't know why but I can't stop thinking about you neither stop smile at your memories.
I remember the day you came with a juice and water .... I...
Naamini kwa uwezo wa Mungu mko wazima.
Napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm ni mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo...
Hahaaaa!!hii inanikumbusha kamsemo kwamba kila 'nut' ina saiz yake ya 'bolt' ukiona haziendani ujue aidha 'nut' ni kubwa 'bolt' ndogo au kinyume chake!!
huyu binti kwao walikataa mahari.......binti akakaa kimya baada ya muda mrefu kupita huyu binti anaanza kunitafuta tena akidai amepotea niende nikampokee bus station alikua anakuja kwangu........
1. Penda sana kusalimiana nae kila siku walau mara 2 mpaka 3
2. Ukitoka likizo mpelekee vizawadi mfano : matunda, mkaa , karanga nk
3. Usiwe unampinga
4. Ukizaa mtoto mwite jina la bosi...
Kama una date binti wa umri wa kuanzia miaka 23 huna mpango wa kumuoa fanya jambo la kiungwana na kumuambia ukweli.
Sikuambii umuambie kua humtaki na hutaki kuoa bali muambie kua wewe si muoaji...
Habarini ndugu, mimi ni mwanamke ambaye hivi karibuni mwanaume wangu anataka akajitambulishe kwetu pamoja na kunivisha pete. Sasa tatizo ni kwamba ananiambia anipe hela nikanunue mwenyewe na mimi...
Idumu jamii forum... kidumu kitongoji cha MMU
:
:
HII NI STORI YA RAFIKI YANGU NIMEAMUA NIWASHIRIKISHE NIMPE USHAURI ULIO SAHIHI KWAKE,,,
:
kuna huyu mwanamke nimedumu nae kwenye mahusiano kwa...