Naitwa Luqman kutoka Kenya nko na 28yrs na natafuta mchumba umri wake uwe chini ya 28yrs, awe atleast amefika secondary kidato cha sita Tanzania. Rangi na kimo chochote sichagui wala dini pia. Mi...
Kwenu wanawake wa kizazi kipya!!!
Una sura nzuri? Una umbo kali? Nataka mke wa namna hiyo.
Mimi nilishatangazaga hapa kuwa nataka kuoa. Lakini songobingo nilizokutana nazo mpaka nikaahirisha...
Utangulizi....
Eeeh sina shaka kabisa. Najua uzi wangu huu hautaamishwa na kufungiwa wala kuwekewa hiden mode . na naweka bayana mimi sio member wa jukwaa la wakubwa hivyo sihusiki hukooo...
Habari za jioni
Naomben mnijuze kwa wanaojua
Ninahitaji Kupata TIN NUMBER..
Kwa ajili ya biashara ingawa biashara bado sijaanza
JE vigezo gani vinatakiwa
Au mpaka niwe nimeshaanza biashara?
Imezoeleka sana watu kuchanganya kitendo cha kufanya mapenzi na kufanya zinaa na kuona kuwa vyote viwili vina maana moja. Ukweli ni kwamba kufanya mapenzi ni tendo kati ya Mwanaume na Mwanamke...
KWENU WADADA
WADADA MNISAMEHE KIDOOOGO!
Samahani sana
Hakika ni kwamba Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye ndoto zao!
Ukweli...
Natumai wote tu wazima. Naitaji rafiki naomba nieleweke wazi rafiki jinsia ya kike umri kuanzia miaka 40 and above ambaye yupo stressed kwa ajili ya kubadilisha mawazo, ushauri, miongozo n.k...
-
Nyang’hwale. Aghalabu watoto wa kike walio wengi wenye umri wa chini ya miaka 18 na waliofaulu kuendelea na masomo ya sekondari, huchukizwa na kitendo cha kuozwa.
Lakini kwa Maria Fimbo, (siyo...
Wakuu, nimefuatilia muda mrefu hawa wamama ambao wakipata mwanya wa kuwaadhibu watoto wao, hutembeza kipigo cha haja/ cha mbwa koko na nimegundua kuwa huwa na chuki kama sio kuwapenda waume zao...
Nyang’hwale. Aghalabu watoto wa kike walio wengi wenye umri wa chini ya miaka 18 na waliofaulu kuendelea na masomo ya sekondari, huchukizwa na kitendo cha kuozwa.
Lakini kwa Maria Fimbo, (siyo...
Habari wakuu,
Nimefanya kautafiti kangu kafupi nimegundua moja kati ya tabia ya wanawake wengi wa kibongo inayokera ni hili swala la kutoheshimu miadi "appointment".Wanawake wengi wa kibongo...
Jamaa anaswa akila uroda kwenye kitanda cha swahib wake wakti mwenye mali kaaga kaenda kazini usiku, si unajua kazi za lindo tena!
Basi mme aliponasa tukio live, akawaomba waendelee na...
Habari wanajamvi
Mwezi uliopita tulikwazana na aliyekuwa mpenzi wangu...hadi kufikia hatua ya kuvunja mahusiano kwa tabia zake
Siku za hivi karibuni...nimekutana nae akiwa na mwanamke...
Mwanaume anaeitwa Simon Louis (49) amekataliwa ombi lake na mpenzi wake la kumuoa Mary Emmanuella (41) ambaye ni mpenzi wake aliyempenda mpaka kuokoa maisha yake mara baada ya kujitolea figo yake...
Nilitokea demu mmoja ana rafiki wengi wazuri, cha kushangaza demu mwenyewe ananiwekea mapozi sasa kasafiri huko mikoani rafiki zake wananishobokea sana wananitega hivi nikitoka na wote kimya kimya...
Natumai wote wazima na poleni pia kwa majukumu yenu.
Nimejitokeza rasmi kutangaza Kwenu kuwa natafuta Rafiki wa Kike ambaye tukiridhiana basi atakuja kuwa Mchumba na Mke wangu rasmi.
Wasifu...
kama kichwa cha mada hapo juu kinavyosema
JINSI YA KUKOMESHA MIZOZO NYUMBANI
Kutokana na matatizo mbalimbali hasa ya kimahusiano yawapatao walioko katika ndoa mara nyingi... Na uanzishwajinwa...
Hapa kuna mambo matatu ambayo mwanaume au mwanamke au wote pamoja watafanya ambayo sio sahihi kwa jamii lakini ni sahihi kwake binafsi
1: MAPENZI SIO VITA
Kundi hili wapo wale wanaoona mapenzi...
Kichwa cha habari na mada havihusiani samahanini. Wadau. Haya tuendelee na somo letu. Hili pendwa. Thread hii omeshafutwa mara 3 ndani ya dakika 17
Ahaahaa kwanza kabisa naomba niweke bayana...