Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huku kwetu Kwamtogole mvua zikinyesha kunakuwa na vidimbwi vya maji barabarani. Kama hutaki viatu vyako vichafuke na matope au kulowana na maji machafu inabidi upite kwenye viambaza vya nyumba za...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
jamani nimechanganyikiwa mwezi sasa nyumba nimeigura kwa kuogopa jela, mke analeta kizaizai
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Habar wanajamvi Natumai ni wazima na buheri wa afya. Niende kweny mada husika. Nina msichana ambaye Niko nae kweny mahusiano kwa zaid mwaka na nusu sasa, kiufupi ni kwamba bado Niko nae na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Haya ni Maneno kama Yalivyoandikwa na Isaya! Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni mudasana walioko kwenye mahusiano/ndoa wakutanapo na yeyote yule anayemkonga moyoo na kupandisha mhemuko huwa hutamka maneno hayaaa "Natamani ningekutana na wewe kabla sijaolewa/sijamwoa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baba mkwe akiwa na mtoto au watoto wa kike wazuri kupita kiasi na yeye hubadilika na kuwa na hulka na tabia za kike . Kinacho mfanya baba mkwe huyu kuwa na tabia na hulka za kike ni ile hali ya...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
vigezo kwa mwanamke miaka 22 to 27 awe dini yoyote rangi yoyote asiwe tegemezi kupitiliza elimu form four kuendelea
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Hellow MMU.... Kwa wale tunaojali miili yetu kwa ushauri wa Therapist,tunaopenda kufinyanga miili yetu ili misuli iwe active,hebu tupeane raman s wazuri sana,wanakufinyanga misuli mpaka...
3 Reactions
44 Replies
17K Views
Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa* dhati. Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Hello Ladies and Gentlemen! Wanaume wenzangu wa MMU kuweni makini sana katika kumchagua mpenzi au mwanamke wa kuoa. Nawaambia hili jambo kutokana na uzoefu nilio nao na imeishanitokea mimi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu wenyenchi? Naam! Mada inaanzia hapa! Mwaka Jana 05/2017 Jamaa yangu alikutana na mwanamke kwa njia ya Facebook, kwa kweli yule mwanamke ki muonekano wa picha alikua in...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nimekaa nimewazaaaa ila bado nakosa jibu ni namna gani naweza ukomboa moyo wangu ,ambao uko mahali nimeuweka bondi, Kutokana na Kumpenda bint fulani nikajikuta sina cha kumpa zaidi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alioniambia ananipenda alinambia kuwa yeye ameoa. Sasa nifanye nini? Naombeni ushauri wenu.
6 Reactions
237 Replies
26K Views
Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au...
6 Reactions
232 Replies
14K Views
Nimerudi... Wazima huku... Maadili ya kina dada yanazidi kuporomoka. Hivi ni nani aliyewaloga ninyi wadada... Inasikitisha sana kuona baadhi ya wadada wamepanga nyumba zao na kukaribisha...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Ukijifanya unajali sana wanakuona boya na kukudharau kana kwamba kwake yeye ndo umefika atajifanya kukuonesha anakupenda lakini vitendo huvioni tena huu ndo mwanya wanaotumia kutokuwa waaminifu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nilikua nammendea beki 3 kwa muda mrefu,majuzi wife kaenda kwenye harusi na mie nikpata nafasi ya kumgegeda, nilikuaga namuoa na vijana wa mtaani wakimmendea nikafikiri walishaondoa bikra kumbe...
5 Reactions
91 Replies
11K Views
1998: Accidentally meeting a mesmerizing woman with a beaming smile and an alluring body, the event that I recalled 3 years later transfixed my mind. While entering my room, seemingly reckless...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Unamkuta mwanaume mtanashati, nywele amenyoa vizuri, kidevu kisafi, shati limepigwa pasi au polo t-shirt safi, suruali safi, kiatu poa. Tatizo ni boxer ina matobo, ilikuwa nyeupe sasa ni ya...
8 Reactions
64 Replies
6K Views
Natumai mko salama wanajamiiforum wote kwa ujumla. Kipindi cha nyuma kidogo kuna kijana mwenzangu alikuwa rafiki yangu sana. Pia nilipenda kuongea nae kuhusu maisha kwa ujumla na kumuomba...
13 Reactions
25 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…