Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Ukijifanya unajali sana wanakuona boya na kukudharau kana kwamba kwake yeye ndo umefika atajifanya kukuonesha anakupenda lakini vitendo huvioni tena huu ndo mwanya wanaotumia kutokuwa waaminifu
ukionesha hali ya kutokujali san tena nalo tatizo wanalalama ohoo! Eti haunipenda haunijali sasa kitu gani mnachokihitaji wanawake
ukionesha hali ya kutokujali san tena nalo tatizo wanalalama ohoo! Eti haunipenda haunijali sasa kitu gani mnachokihitaji wanawake