Hii ndio tofauti ya mwanaume na mwanamke katika mapenzi

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa* dhati.

Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.

Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.

Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa *wanaowapenda* wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake;anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.

Kwa *mwanaume tendo* la *ndoa* na *upendo* ni vitu viwili tofauti* kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.

*Mwanaume* *kuchepuka* *haimaanishi* kuwa *ameacha* *kumpenda* *mkewe* la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbukia kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawez WANA NAFUU KULIKO WANAWAKE.

Dr
 
Ukiwa na Akili huwezi kuchepuka ili hali unajua uko kilimanjaro zaidi ya wajawazito 700 wamekutwa na ngoma.

Mpende mkeo acha kutafuta sababu za kuhalilisha ujinga.
 
Ukimpenda mke wako unajiweka kwenye hali nzuri ya kufurahia maisha maana wanawake wengi huchepuka kulipa kisasi
Sawa sawa na mwanamme makin humpenda mkewe kama mwanamke wapili baada ya Mama yake.

Mwanamke huchepuka ikiwa kagundua wee ni mchepukaji, nahawa viumbe Mungu aliwapa uwezo mkubwa wa kukujua mapema.
 
Wanawake wengi huwa wanaingia kwenye ndoa wakiwa na hamu ya kutulia maishani ila sisi huwa watibuaji wa hali ya hewa
100% mimi mzee wangu aliponisimulia namna alivyokua na Mama, mpaka tunazaliwa , Wakati fulan najiuliza au nisababu ya miaka iyo??

Ila ukweli nikwamba, Mwanamme ni kichwa , mwanamke nishingo, shingo ugeukia kule kichwa kilipoelekea,, ikiwa namaana " Mwanamme ukishaharibu tu ,basi na mwanamke umempoteza".
 
100% mimi mzee wangu aliponisimulia namna alivyokua na Mama, mpaka tunazaliwa , Wakati fulan najiuliza au nisababu ya miaka iyo??

Ila ukweli nikwamba, Mwanamme ni kichwa , mwanamke nishingo, shingo ugeukia kule kichwa kilipoelekea,, ikiwa namaana " Mwanamme ukishaharibu tu ,basi na mwanamke umempoteza".
Mi huwa najitahidi kumpa matumaini mke wangu kumuonesha nampenda siogopi kuwa ipo siku akinibadilikia nitaweuka.Mi najitolea kumpenda akizingua maamuzi yapo
 
Mi huwa najitahidi kumpa matumaini mke wangu kumuonesha nampenda siogopi kuwa ipo siku akinibadilikia nitaweuka.Mi najitolea kumpenda akizingua maamuzi yapo
Wee mkuu maisha yako yatabaki kua na furaha tuu , na wala hutokuja kuumia hata km atabadilika, unajuankwann?? Kwasababu kwa upande wako umefanya kila kitu kumkeep mikonon mwako.

Nahuo ndo uanamme.. Mwanaume sharit umuonyeshe mwenzako kua unampenda nakujali hisia zake... ,Akikaa kukufikiria mazur, ataanzaje kukusahau?? .

Majuzi kati nilikwenda maeneo ya Kibaha, ktk siti moja,nilikaa na mdada kiumri km 30s, dada wawatu analia njia nzima tuu. Nakuchat , nikaanza kumuingia mdogodogo. Alichonisimulia, Ndio hata baadae nikaandika uzi .baadhi ya wanaume hawajielewi kabisa.


Kwaufupi, Wanaume waendelee kuwapenda wake zao.
 
Wapo wanawake pasua vichwaa ukiwa nae peke yake inafika hatua hata malaika wa heri wanakushangaa. Maisha ya ndoa ni tamthilia ngumu sana kuitafkari hasa ukipata mke mwnye mambo yafuatayo
1. Ubinafsi
2. Ushirikina
3. Kiburi
4.Ujuaji sana

Hapo lazima uchepuke pia kama utashindwa kuchepuka basi malaika atakushangaaa
 
Back
Top Bottom