Umakini unahitajika kabla ya kuoa au kuingia ktk uhusiano wa kimapenzi

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,037
Hello Ladies and Gentlemen!

Wanaume wenzangu wa MMU kuweni makini sana katika kumchagua mpenzi au mwanamke wa kuoa. Nawaambia hili jambo kutokana na uzoefu nilio nao na imeishanitokea mimi binafsi. Ukitaka mwanamke wa kuoa au wa kuwa mpenzi wako mtafute mwanamke ambaye angalau ni mjanja kwa kiasi fulani ambae anajua nini kinaendelea duniani. Hivyo zingatia vitu vifuatavyo:

i) Elimu- Mwanamke mwenye elimu huwa ana ustaraabu kwa kiasi fulani siyo kama ambaye hajasoma. Mfano juzi nilikuwa na rafiki yangu kwenye tukio la kuapishwa mawakili. Huyo rafiki yangu ana mchumba wake ambae ni kisu sana ila elimu hana hivyo alikimbia umande. Sasa ilikuwa ni kituko sana kwa sababu alikuwa hataki kijana apige picha hata na mawakili wenzake wa kike. Nilishuhudia kama mara tatu hivi akitaka kuleta ugomvi kisa tu picha bila kujali yuko sehemu gani. Nikahitimisha kuwa mwanamke mwenye elimu yake hawezi fanya vile maana elimu yako hata kama ndogo inakufanya uwe mstaraabu ingawa siyo kila mwenye elimu ni mstaraabu. Pia kama hana elimu halafu wewe kidume umepiga shule sana na unatamani watoto wako wawe na elimu nzuri usishangae anakwambia kuwa unapoteza hela au unatumia hela nyingi kusomesha watoto wakati kuna shule za bure. Hahahahahahhh!!!

ii) Anayependa kujishughulisha- usioe mwanamke asiyependa kujishughulisha kwa sababu utakuwa umebeba mzigo wa mavi kichwani.

iii) Mahali anapoishi- Usioe mwanamke au kuwa na mpenzi anayekaa uswahilini tena aliyekuwa teja wa tabia za uswahilini utajuta sana. Siku ukimpeleka kwa watu wastaraabu mfano kwa marafiki zako uliyesoma nao Harvard University au chuo chochote atakutia aibu sana maana hachelewi kukuletea nouma mbele ya marafiki zako.

iii) Usioe mwanamke au kuanzisha uhusiano na mwanamke anayekwambia ameokoka- hawa hutumia kanisa kama mwamvuli kutenda dhambi kwa kulia tunda la kati na watu wengine ila akija kwako anakukazia hatari kuwa mpaka mfunge ndoa. Akiwa anaenda kumegwa atakwambia naenda church kumbe anaenda kuchezea wazungu wa nigga.

iv) Wavaa mawigi, madela, skini taiti na wapaka mekapu - ogopa sana wanawake wa aina hiyo hasa wale wa uswahilini ingawa siyo wote wenye tabia hmbaya lakini wengi wao wana tabia za ajabu sana.

v) Wapiga mizinga hovyohovyo- ogopa sana wanawake wale wenye tabia ya kuhamishia matatizo yao yote kwako mfano asubuhi ukiamka unakutana na meseji kuwa mama anaumwa , jioni tena unatumiwa meseji kuwa mdogo wangu yule anayesoma chuo amekosa ada nisaidie. kumbe uongo mtupu anataka yeye hiyo hela.

NOTE: Usioe au kuwa na mpenzi mshamba utateseka sana.

Karibuni kwa michango yenu.
 
Yote ulosema nisahihi.. Ila yote kwa yote , Usithubutu kuoa mwanamke asojua Mlango wakanisa au msikiti.

Yaan ye kwenda kanisan au msikitin mpaka sikukuu.

Asikudanganye mtu, ukweli nikwamba Elimu Dini na Elimu Dunia huusika ktk kujenga tabia njema.

Naunga hoja yako.
Sometimes kanisa ni kichaka cha kuficha dhambi brother. Nilishawahi shuhudia jamaa anadanganywa na demu wake kuwa nipo kanisani kwenye mkesha kumbe yupo lodge pale sinza kumekucha.
 
Hahahah yaaah ilo nalo nikweli kabisaa, ndo maana hupaswi kukurupuka bali kuacha muda ukuonyeshe huyu ni muigizaji au lah
 
Nakubaliana na hoja zako, mi naongezea tu, bila kujali kwamba ndio unaanza mahusiano au unafunga ndoa... ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI KAMA ALIVYOSEMA MUNGU.
 
Kweli ila wakati mwingine inakuwa too much mpaka akili unaiweka pembeni. Kumbuka hatuna ukamilifu so akizidisha mambo ya ajabu lazima utaweka akili pembeni.
 
Hello Ladies and Gentlemen!

Wanaume wenzangu wa MMU kuweni makini sana katika kumchagua mpenzi au mwanamke wa kuoa. Nawaambia hili jambo kutokana na uzoefu nilio nao na imeishanitokea mimi binafsi. Ukitaka mwanamke wa kuoa au wa kuwa mpenzi wako mtafute mwanamke ambaye angalau ni mjanja kwa kiasi fulani ambae anajua nini kinaendelea duniani. Hivyo zingatia vitu vifuatavyo:

i) Elimu- Mwanamke mwenye elimu huwa ana ustaraabu kwa kiasi fulani siyo kama ambaye hajasoma. Mfano juzi nilikuwa na rafiki yangu kwenye tukio la kuapishwa mawakili. Huyo rafiki yangu ana mchumba wake ambae ni kisu sana ila elimu hana hivyo alikimbia umande. Sasa ilikuwa ni kituko sana kwa sababu alikuwa hataki kijana apige picha hata na mawakili wenzake wa kike. Nilishuhudia kama mara tatu hivi akitaka kuleta ugomvi kisa tu picha bila kujali yuko sehemu gani. Nikahitimisha kuwa mwanamke mwenye elimu yake hawezi fanya vile maana elimu yako hata kama ndogo inakufanya uwe mstaraabu ingawa siyo kila mwenye elimu ni mstaraabu. Pia kama hana elimu halafu wewe kidume umepiga shule sana na unatamani watoto wako wawe na elimu nzuri usishangae anakwambia kuwa unapoteza hela au unatumia hela nyingi kusomesha watoto wakati kuna shule za bure. Hahahahahahhh!!!

ii) Anayependa kujishughulisha- usioe mwanamke asiyependa kujishughulisha kwa sababu utakuwa umebeba mzigo wa mavi kichwani.

iii) Mahali anapoishi- Usioe mwanamke au kuwa na mpenzi anayekaa uswahilini tena aliyekuwa teja wa tabia za uswahilini utajuta sana. Siku ukimpeleka kwa watu wastaraabu mfano kwa marafiki zako uliyesoma nao Harvard University au chuo chochote atakutia aibu sana maana hachelewi kukuletea nouma mbele ya marafiki zako.

iii) Usioe mwanamke au kuanzisha uhusiano na mwanamke anayekwambia ameokoka- hawa hutumia kanisa kama mwamvuli kutenda dhambi kwa kulia tunda la kati na watu wengine ila akija kwako anakukazia hatari kuwa mpaka mfunge ndoa. Akiwa anaenda kumegwa atakwambia naenda church kumbe anaenda kuchezea wazungu wa nigga.

iv) Wavaa mawigi, madela, skini taiti na wapaka mekapu - ogopa sana wanawake wa aina hiyo hasa wale wa uswahilini ingawa siyo wote wenye tabia hmbaya lakini wengi wao wana tabia za ajabu sana.

v) Wapiga mizinga hovyohovyo- ogopa sana wanawake wale wenye tabia ya kuhamishia matatizo yao yote kwako mfano asubuhi ukiamka unakutana na meseji kuwa mama anaumwa , jioni tena unatumiwa meseji kuwa mdogo wangu yule anayesoma chuo amekosa ada nisaidie. kumbe uongo mtupu anataka yeye hiyo hela.

NOTE: Usioe au kuwa na mpenzi mshamba utateseka sana.

Karibuni kwa michango yenu.
Hakuna mwanamke duniani hasiye na moja au zaidi ya moja ya hizo sifa hapo juu.
 
Namimi naongezea,
Usio mwanamke

.Mpenda pesa
.Asiyependa pesa
.Mzuri sana
.Mbaya sana
.Mzuri kiasi
.Asiye mjua mungu
.Mlokole
.Wa uswahilini
.Wa masaki
.Mwenye elimu kubwa
.Asiye na elimu
.Darasa la saba
 
Yote ulosema nisahihi.. Ila yote kwa yote , Usithubutu kuoa mwanamke asojua Mlango wakanisa au msikiti.

Yaan ye kwenda kanisan au msikitin mpaka sikukuu.

Asikudanganye mtu, ukweli nikwamba Elimu Dini na Elimu Dunia huusika ktk kujenga tabia njema.

Naunga hoja yako.
Umemaliza. Mwanamke mwenye hofu ya Mungu ndie mwanamke sahihi.
 
Hello Ladies and Gentlemen!

Wanaume wenzangu wa MMU kuweni makini sana katika kumchagua mpenzi au mwanamke wa kuoa. Nawaambia hili jambo kutokana na uzoefu nilio nao na imeishanitokea mimi binafsi. Ukitaka mwanamke wa kuoa au wa kuwa mpenzi wako mtafute mwanamke ambaye angalau ni mjanja kwa kiasi fulani ambae anajua nini kinaendelea duniani. Hivyo zingatia vitu vifuatavyo:

i) Elimu- Mwanamke mwenye elimu huwa ana ustaraabu kwa kiasi fulani siyo kama ambaye hajasoma. Mfano juzi nilikuwa na rafiki yangu kwenye tukio la kuapishwa mawakili. Huyo rafiki yangu ana mchumba wake ambae ni kisu sana ila elimu hana hivyo alikimbia umande. Sasa ilikuwa ni kituko sana kwa sababu alikuwa hataki kijana apige picha hata na mawakili wenzake wa kike. Nilishuhudia kama mara tatu hivi akitaka kuleta ugomvi kisa tu picha bila kujali yuko sehemu gani. Nikahitimisha kuwa mwanamke mwenye elimu yake hawezi fanya vile maana elimu yako hata kama ndogo inakufanya uwe mstaraabu ingawa siyo kila mwenye elimu ni mstaraabu. Pia kama hana elimu halafu wewe kidume umepiga shule sana na unatamani watoto wako wawe na elimu nzuri usishangae anakwambia kuwa unapoteza hela au unatumia hela nyingi kusomesha watoto wakati kuna shule za bure. Hahahahahahhh!!!

ii) Anayependa kujishughulisha- usioe mwanamke asiyependa kujishughulisha kwa sababu utakuwa umebeba mzigo wa mavi kichwani.

iii) Mahali anapoishi- Usioe mwanamke au kuwa na mpenzi anayekaa uswahilini tena aliyekuwa teja wa tabia za uswahilini utajuta sana. Siku ukimpeleka kwa watu wastaraabu mfano kwa marafiki zako uliyesoma nao Harvard University au chuo chochote atakutia aibu sana maana hachelewi kukuletea nouma mbele ya marafiki zako.

iii) Usioe mwanamke au kuanzisha uhusiano na mwanamke anayekwambia ameokoka- hawa hutumia kanisa kama mwamvuli kutenda dhambi kwa kulia tunda la kati na watu wengine ila akija kwako anakukazia hatari kuwa mpaka mfunge ndoa. Akiwa anaenda kumegwa atakwambia naenda church kumbe anaenda kuchezea wazungu wa nigga.

iv) Wavaa mawigi, madela, skini taiti na wapaka mekapu - ogopa sana wanawake wa aina hiyo hasa wale wa uswahilini ingawa siyo wote wenye tabia hmbaya lakini wengi wao wana tabia za ajabu sana.

v) Wapiga mizinga hovyohovyo- ogopa sana wanawake wale wenye tabia ya kuhamishia matatizo yao yote kwako mfano asubuhi ukiamka unakutana na meseji kuwa mama anaumwa , jioni tena unatumiwa meseji kuwa mdogo wangu yule anayesoma chuo amekosa ada nisaidie. kumbe uongo mtupu anataka yeye hiyo hela.

NOTE: Usioe au kuwa na mpenzi mshamba utateseka sana.

Karibuni kwa michango yenu.
Mchepukaji hata akiolewa ataendelea kuchepuka tu elewa mkuuu wanawake wote walewale tu ukimpata anaheshimu piga goti mshukuru mungu
 
mwanamke amchaye bwana ndio atakayesifiwa ndio anafaa kua mke mengine hayo chenga tu
 
Mwanamke anaependa kuomba fedha mara kwa mara anakera sna,ukiona text au call yake unaikimbia pia mwisho wao uwa sio mzr.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom