Namuacha mke anataka kupiga simu kwa Rc kuwa nauza madawa

Timua huyo mwanamke. Ipo siku atakuja kukuchinja.
Kama una uhakika kuwa hujishughulishi na hiyo biashara nenda katoe taarifa polisi. Maana anaweza akaja akakuwekea madawa kwenye nyumba akubambike kesi.
 
Subiri uwekewe bangi chumbani na kwenye mifuko ya koti na suruali...
 
Ana chura ?
55225.jpg
 
Fanya kumuwahi nenda katoe taarifa police unawasiwasi na mkeo anajihusisha na biashara za dawa za kulevya
 
Back
Top Bottom