Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

_*Kuomba radhi wanapokosea.*_ _*Kumsaidia, mkewe hata kama anaumwa.*_ _*Kufanya mzaha na matani na mkewe mpk wakawa marafiki.*_ _*Kumsikiliza na kumshauri.*_ _*Kujali jitihada zake hata kama...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Si kila mwanamke unadanganya au unaingia kichwa kichwa hasa pale unapokuwa na girlfriend au mke. Wengine wanakupa mzigo makusudi baada ya kula mzigo hivo vitimbwi utajuta. Kwanza kumpata huyu...
20 Reactions
185 Replies
14K Views
Husband can remember all his old car number plates but can not remember what you asked him to bring home after work. He can climb up stairs without seen them when he arrives home drunk. He is...
12 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi ni miongoni mwa watu wachache wasiopenda ujinga nchi hii!!! Hapa kitaa nilipohamia pande za Tegeta_Wazo_Hill chumba changu kinatazamana na chumba cha jamaa mmoja na mkewe. Nina...
14 Reactions
64 Replies
15K Views
Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na...
9 Reactions
175 Replies
15K Views
wakuu Habari zenu.. baaada kuwa na mpenzi wangu kwa muda wa miaka miwil hatimaye tumeachana january 2018, mahusiano yetu layianza kuwa mabovu nilipofukuzwa kazi niliyokuwa nikifanya mkoani...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Katika maisha yangu ya shule niliwaheshimu mno walimu wangu.Haikuwahi kutokea haya siku moja nikawaza kumtongoza mwalimu wangu. Ukipitia baadhi ya thread humu utagundua kuwa kuna watu ambao...
9 Reactions
76 Replies
16K Views
Je ni mwanadada yupi hapa Jf hizi ni pigo zake za kutokea
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Hapa JF kama unayo ID moja, siku ukipigwa BAN, utapata tabu sana kuanza kufungua ID nyingine. Katika mahusiano pia, ukiwa na mwanamke mmoja, siku la kutokea likitokea, utapata tabu sana kuzurura...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mnakuwa lama watoto sortîmes..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
upendo usiokejeli upendo unaojali bila kuangalia mapungufu ikiwa hakuna anaependa kuzaliwa na mapungufu...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Sijui ni kwanini ila Mimi nikimwona mwanamke mwembana awe mrefu wa wastani Akili yangu inaanza kukumbwa na dhoruba na hisia zinaanza kutawala!sijawahi kuvutiwa na chura! Bwawa lenyewe sina...
10 Reactions
92 Replies
12K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu,,natafuta mke wa kuoa..mm nina miaka 40,,mke mtarajiwa awe na miaka kuanzia 20 had 35,awe kipotabo kidogo awae na kamzigo kidogo awe maji ya kunde mnakaribishwa..
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Mimi ni kijana wa kiume (27) nafanya kazi Dar es salaam,natafuta msichana mrembo tuwe marafiki kisha wapenzi.Awe na umri kati ya 20-40
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Umeolewa mko kwenye ndoa. Inspiration miaka mitano bila mtoto. Mume hakusumbui kwenda hospitali kutafuta suluhu basi ameshapata familia hukoo na mwe zake ni baba fulani wewe utabaki kuwa mke wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa mmoja ambaye ametangulia mbele za haki, alikuwa na michepuko kadhaa, na baadhi yao kumbe alishazaa nao. Inaelezwa kuwa jamaa alikuwa jumla na watoto 6 wa nje ya ndoa, kila mmoja akiwa na...
8 Reactions
70 Replies
10K Views
Habari wanajamvi Hizi ni baadhi ya dalili ambazo utagundua kuwa mwanaume anatoka kuchepuka 1,Kama alikuwa akija nyumbani hachangamki,hana zile amsha amsha za stories mbalimbali, basi siku akija...
0 Reactions
30 Replies
18K Views
Wadau, Nawezaje kumtongoza msichana ambaye nina namba yake tu nimepewa ila hatujuani na hatujawahi kuonana? Rafiki yake kanipa tu namba na ameniambia nisimtaje kwahiyo mtaji wangu ni namba ya...
0 Reactions
114 Replies
32K Views
Natafuta girlfriend. Am 26 years old. Yoyote ambaye yupo interested anicheki PM tuyajenge. Awe yupo Dsm.
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Habari wadau.. Kuna jambo linanishangaza sana.. kama tunavyojua tatizo la ajira ni kubwa ambapo wengi tunakimbilia kwenye kujiajiri.. maana maisha hayaruhusu ukae kae tu bila ishu.. sasa unakuta...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…