je ni kwel nimelogwa?

je ni kwel nimelogwa?

Joined
Feb 8, 2017
Posts
79
Reaction score
27
wakuu Habari zenu..
baaada kuwa na mpenzi wangu kwa muda wa miaka miwil hatimaye tumeachana january 2018, mahusiano yetu layianza kuwa mabovu nilipofukuzwa kazi niliyokuwa nikifanya mkoani...

lakin kabla ya hapo Pemben nilikuwa na mchepuko ambao ulikuwa unajua kama mm nina mpenzi na nataka kumuoa.. huo mchepuko uliniambia kauli moja ambayo sitaisahau...
** UTAKWENDA KILA KONA MWISHO WA SIKU UTALUDI KWANGU*
Huu mchepuko unapenda mambo ya kiganga sana... ingawa mm nilikuwa namuona tu analiwa pesa zake sababu siamini vitu hivyo..

basi baada ya kauli hiyo mm na mpenzi wangu tukawa tunagombana kila siku matatizo kila mara.. mwisho wa siku nikapoteza kazi na mpenzi tukaachana...

baada kumpa taarifa yule mchepuko alifurahi sana, bado najitaidi kumrudisha mpenz wangu lakin jitihada zinagonga mwamba kwa maana ameapa kwamba ata niwe raisi hatuludiana na mimi kamwe... yani anasema hanipendi sana...
bado mm na uyu mpenzi wangu tunawasiliana na tunaongea na kucheka ila nikimuomba tuludiane bado msimamo wake ni uleule yan hataki.

je ni kweli mchepuko umeniloga au ni mawazo tu ya kishetani?

nifanyaje wakuu?

update :

ule mchepuko umepigwa mimba na mangi... alafu mangi kala kona haonekani...
ama kweli kila kubwa ina kubwa yake
...
na yule mpenzi wangu kani block whatsapp
 
Last edited:
Hii midomo hii s vizur kuropoka ropoka mwisho wa siku waweza kua hujadhamiria ubaya lakini ubaya ukatokea kutokana na kauli zako watu wakaamini kweli umetenda

Yawezekana alisema hivo hakumaanisha kukuloga wala au alimaanisha kweli

Cha kufanya omba sana Mungu zidisha ibada huku ukutafta cha kukuingizia kipato uachane nao angalia maisha yako
 
Mwana kuyataka mwana kuyapata kama anakuroga naomba azidishe dozi...ww unaye tayar mwanamke uloyeweka future nae iweje utafute msichana mwingine...?
 
Tafuta pesa huyo manzi wako atarejea kwenye himaya yako
 
Sasa wewe ulijuaje mchepuko anapenda mambo ya kiganga na analiwa pesa?
 
Hahahaha ukilisha subconscious mind Yako masuala ya kijinga..nayenyewe itakufanya uyaishi ivoivo.

Angalia iyo hofu itakufanya siku moja ushindwe kusimamisha mashine.
 
Hahahaah...mchepuko amefanya yake

Ila ulijuaje kama anamambo ya shirki kama si kua mshiriki mwenzio

Ila pole mkuu..muombe tu Mungu kila kitu kitakua sawa
 
wakuu Habari zenu..
baaada kuwa na mpenzi wangu kwa muda wa miaka miwil hatimaye tumeachana january 2018, mahusiano yetu layianza kuwa mabovu nilipofukuzwa kazi niliyokuwa nikifanya mkoani...

lakin kabla ya hapo Pemben nilikuwa na mchepuko ambao ulikuwa unajua kama mm nina mpenzi na nataka kumuoa.. huo mchepuko uliniambia kauli moja ambayo sitaisahau...
** UTAKWENDA KILA KONA MWISHO WA SIKU UTALUDI KWANGU*
Huu mchepuko unapenda mambo ya kiganga sana... ingawa mm nilikuwa namuona tu analiwa pesa zake sababu siamini vitu hivyo..

basi baada ya kauli hiyo mm na mpenzi wangu tukawa tunagombana kila siku matatizo kila mara.. mwisho wa siku nikapoteza kazi na mpenzi tukaachana...

baada kumpa taarifa yule mchepuko alifurahi sana, bado najitaidi kumrudisha mpenz wangu lakin jitihada zinagonga mwamba kwa maana ameapa kwamba ata niwe raisi hatuludiana na mimi kamwe... yani anasema hanipendi sana...
bado mm na uyu mpenzi wangu tunawasiliana na tunaongea na kucheka ila nikimuomba tuludiane bado msimamo wake ni uleule yan hataki.

je ni kweli mchepuko umeniloga au ni mawazo tu ya kishetani?

nifanyaje wakuu?
Why uko na mchepuko wkt ulikuwa na mahusiano serious?
Umejitakia mwenyewe, na huyu mchepuko keshafanya yake.
Sasa ishu iko hiv, rudi kwenye maombi, uwe mtu wa kumcha Mungu.
Huyo mchepuko achana nao kabisaa maana ndio unakuharibia
 
Good head
 
Back
Top Bottom