Dalili za mwanaume anayetoka kuchepuka

Dalili za mwanaume anayetoka kuchepuka

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Habari wanajamvi

Hizi ni baadhi ya dalili ambazo utagundua kuwa mwanaume anatoka kuchepuka

1,Kama alikuwa akija nyumbani hachangamki,hana zile amsha amsha za stories mbalimbali, basi siku akija amechangamka tofauti na kawaida yake,anakuja na stories kibao,mara hiki mara hiki...ujue atokapo huko

2,Siku za karibuni au ni muda sasa hakuletei zawadi na kukwambia maneno matamu,siku anakuletea hiyo zawadi na maneno matamu...ujue atokapo huko

3,kujionyesha kuwa siku hiyo yupo karibu na wewe kuliko kawaida...ujue huko atokapo

Mwanaume mmoja akaniambia, hii hali hututokea baada ya kuhisi nilichokuwa namfanyia mke wangu sicho,anahisi kujutia ila atakaporudia kufanya nae kwa mara nyingine hujihisi kawaida

Wanaume bwana..
 
weka na dalili ya mwanamke akitoka kuchepuka ili tubalance stori
 
Hapo kwenye zawadi si uhakika sana. Sometimes hali ya uchumi kuwa mbaya
 
Kwahiyo kama mtu anaishi hivyo na mkewe kila siku atakuwa anachepuka daily?!
 
Weka na dalili za mwanamke aliyetoka kuchepuka
 
Habari wanajamvi

Hizi ni baadhi ya dalili ambazo utagundua kuwa mwanaume anatoka kuchepuka

1,Kama alikuwa akija nyumbani hachangamki,hana zile amsha amsha za stories mbalimbali, basi siku akija amechangamka tofauti na kawaida yake,anakuja na stories kibao,mara hiki mara hiki...ujue atokapo huko

2,Siku za karibuni au ni muda sasa hakuletei zawadi na kukwambia maneno matamu,siku anakuletea hiyo zawadi na maneno matamu...ujue atokapo huko

3,kujionyesha kuwa siku hiyo yupo karibu na wewe kuliko kawaida...ujue huko atokapo

Mwanaume mmoja akaniambia, hii hali hututokea baada ya kuhisi nilichokuwa namfanyia mke wangu sicho,anahisi kujutia ila atakaporudia kufanya nae kwa mara nyingine hujihisi kawaida

Wanaume bwana..
Bila shaka huu utafiti umejifanyia mwenyewe na mm naenda kuufanyia kazi bila kutia shaka!
 
Siku zote mtu muongo muongo au mwizi hanaga amani maisha yake ni ya mashaka.
Unaweza mdanganya mwanadamu ila sio MUNGU.
 
64e66397-7af7-4683-816f-d1d3a3ee7e6e.jpg
 
Habari wanajamvi

Hizi ni baadhi ya dalili ambazo utagundua kuwa mwanaume anatoka kuchepuka

1,Kama alikuwa akija nyumbani hachangamki,hana zile amsha amsha za stories mbalimbali, basi siku akija amechangamka tofauti na kawaida yake,anakuja na stories kibao,mara hiki mara hiki...ujue atokapo huko

2,Siku za karibuni au ni muda sasa hakuletei zawadi na kukwambia maneno matamu,siku anakuletea hiyo zawadi na maneno matamu...ujue atokapo huko

3,kujionyesha kuwa siku hiyo yupo karibu na wewe kuliko kawaida...ujue huko atokapo

Mwanaume mmoja akaniambia, hii hali hututokea baada ya kuhisi nilichokuwa namfanyia mke wangu sicho,anahisi kujutia ila atakaporudia kufanya nae kwa mara nyingine hujihisi kawaida

Wanaume bwana..
While all of the above may apply very well to the infidelity situation,
They also apply to many other issues going on in a man's life.
Example ;(Akapata deal nzuri la hela, akakumbuka mke amekua akimuombea sana na alikua frustrated. Ataenda kumnunulia zawadi, atakuja amechangamka na atakuwa karibu yake).
Nashauri vigezo vyako visitumiwe hata kidogo kwenye uhusiano na kuchepuka. Ni kama homa kutumika kama dalili ya Malaria
 
Wengine tuko vile vile, hata tukichepuka mara alfu kwa siku.
Utafanya watu wasipelekewe zawadi ohooo
 
Back
Top Bottom